GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kama na wewe umesalimu amri kwa mzee wa kutetema mimi ni nani nikubishie, Wachezaji wa mtibwa walikusanywa kama unavyokusanya mtama kwenye jamvi na akawaweka kiutamu utamu🤣🤣Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.
Namkubali mno na Ninampenda.
Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.
Namkubali mno na Ninampenda.
Sie ni nani tupige.. Ni kutetema na kuwatetemesha makolo na ligi nzimaKwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.
Namkubali mno na Ninampenda.
Mbona unajikanyagakanyaga mkuu, kalete timu yako yenye ukuta mgumu tuone, kwani hao azam si aliwagonga msimu uliopita au unasemea azam ipi yenye ukuta mgumu? Na ingekuwa na ukuta mgumu ingeruhusu goli 2, au ukuta ulikuwa mgumu kwa mayele peke yake kwa feisal ulikuwa mlaini?Hamna kitu Pale. Hajakutana na Beki kama ya Azamu. Mweupe sana. Sema hamna team yenye ukuta mgumu Kwa ligi ya NBC
Wewe ni mpinzani wa kweli. Uko makiniKwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.
Namkubali mno na Ninampenda.
Huyu ni Aina ya wachezaji wanafanya mpira uonekane rahisi sana.Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.
Namkubali mno na Ninampenda.
[emoji1787][emoji1787]Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.
Namkubali mno na Ninampenda.
Hawajakusikia Hongeza sautii [emoji350][emoji350][emoji350][emoji860][emoji860]Kwa miaka Mitatu hadi Mitano ijayo hakutatokea Mshambuliaji ambaye ni Complete Package katika hii NBC Premier League kama Fiston Kalala Mayele GENTAMYCINE.
Namkubali mno na Ninampenda.
Mpe mayele heshima yake bwana wabongo mna roho za husda sanaBado mapema wacha ligi iendelee, anaweza pitiwa na ukame wa mabao gafla muanze kushangaa..
Mimi credit zangu kwake nitazitoa mwisho wa msimu.
Naona Yanga inabebwa zaidi na timu yao kukaa pamoja muda mrefu, pale chemistry ime-click, ndio hata asipofunga Mayele, atafunga mwingine yeyote.