Lishe haina umri mjomba. Ni umasikini tu ndiyo unaotufanya tubugie kila kitu.Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z
Sasa juzi kama kawaida mida ya jioni nimemkuta kakaa nje kibarazani nikamsalimu vizuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.
Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.
Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini
Naendaga kunywaga mbege pale tegeta club ya kb oposite na tegeta complex mbege yao iko poa sana itakuja kwenye madumu kutokea Kilimanjaro kabisaHahhaa mambo ya migombani haya mkuu
🤣🤣🤣🤣Tangu tumbini mwa mama ako unashauriwa kuzingatia mlo.
Huyo kakumbana na makatazo ya madaktari, sasa hapo familia inamlinda.Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z
Sasa juzi kama kawaida mida ya jioni nimemkuta kakaa nje kibarazani nikamsalimu vizuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.
Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.
Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini
Safi sana bwasheeNaendaga kunywaga mbege pale tegeta club ya kb oposite na tegeta complex mbege yao iko poa sana itakuja kwenye madumu kutokea Kilimanjaro kabisa
Na Mkananga unaujua ?Ewaaah kuna mti maarufu sana kule rombo unaitwa mfifina unaujua? Wazee walikuwa wanafungia ng''ombe kwenye huo mti
anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z
Kuna mzee ni jirani yangu anaishi pamoja na familia yake, na mara nyingi huwa nashinda naye nyakati za jioni pamoja na wikendi tukipiga stori moja mbili tatu pamoja na nasaha enzi akiwa kijana na kipindi hiki cha utawala wa Gen Z
Sasa juzi kama kawaida mida ya jioni nimemkuta kakaa nje kibarazani nikamsalimu vizuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.
Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.
Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini
zuri tu, ila ni kama hakuwa sawa. Nikamuuliza akasema anachukia pindi mke wake pamoja na vijana wake wanavyomnyanyasa kwenye issue ya chakula na vinywaji, yaani hawataki anywe soda na hawataki ale vyakula kama KFC anadai muda wote ni mchemsho na mboga mboga.
Mimi nikimwangalia mzee ni kama yuko kwenye umri wa miaka 60, anasema Afya ni muhimu sana ila dunia tunapita kama maradhi yapo ni yapo tu jamani.
Kwa upande wangu nashindwa hata nimwambie nini
Na ianzie mbali zaidi kwa mama huyo kuliandaa tumbo (afya yake jumla) kukupokea na kukulea hadi unapozaliwa katika afya njema.Tangu tumbini mwa mama ako unashauriwa kuzingatia mlo.
Ndugu yangu hujaugua wewe🤔Nijitese kula kwani mm nimechaguliwa kua mlinzi wa dunia ...kuna kupindi niliumwa wakaniambia na presha wakanipangia misosi mm nikaona nateseka tu nikaachana na ratiba zao nikawa nakula nacho kipenda hata presha sijui
HakikaSure kaka muhimu kucheki afya kila mara
Acha tuHakika, afya ilindwe kwa wivu mkubwa sana.
Ila sisi wa 40+ ni muhimu zaidi kuzingatia maana maradhi nayo yanaanza kupiga hodi, japo kama foundation ilikuwa mbovu...😅
huu ni mzuri kwenye kisusio na supuNa Mkananga unaujua ?
Nikinywa chai, uji, maziwa au chochote chenye sukari, siku yangu Huwa inakuwa mbaya Sana. Mwili Huwa napata mauzauza mpaka najutaMe niko early 30s ila mwezi wa 7 joints za miguu zilianza kuniimbia ululuuuuyah wachukuuuucha! Nilikua nakunywa sana soft drinks, junk foods na sweets sasa nabalance zaidi ya mwezi sasa sijanywa chai ya sukari nakunywa maji mengii nilihisi dalili mbaya ila naogopa kupima naji balance kwanza.
Muhimu sana kuangalia unakula nini ukivuka tu 30 mana ushakua anko au aunty.
Msewe ni eneo pale Ubungo.Msewe ndo nini
Ndio ndio mzee ni mzuri sana.huu ni mzuri kwenye kisusio na supu
Hapo upo kwenye stage ya Insulin Resistance/ Prediabetes achana navyo au punguza kwa kiasi kikubwa ili u reverse hiyo hali kabla hujawa Diabetic.Nikinywa chai, uji, maziwa au chochote chenye sukari, siku yangu Huwa inakuwa mbaya Sana. Mwili Huwa napata mauzauza mpaka najuta