Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.

Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Tanzania kuna Magaidi. Ndio uongo mkubwa na mbaya sana. Raisi anaenda kuufuta.
 
Hii kauli ili mlenga mr belgiji moja kwa moja
 
Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.

Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Labda zile khabarri za kizushi za kigogo eti jumong ni lesibian
 
Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.

Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Shemeji yetu Amsterdam, anayo majibu yote.
 
kwamba tanzania hakuna uhuru wa habari na demokrasia.

Ni kweli, mpaka wengine wengine wameamua kufunga ubalozi.
kwahiyo wamefunga sababu ya mwenendo wa demokrasia au wana mambi yao mengine!!!!
 
Kuufuta uongo ni kutumia mbinu ya Russia, na Uingereza kwa kuwezesha mashirika yao ya habari kujitanua ulimwenguni. Wengi mnazijua RT na BBC ni vyombo vilivyochini ya serikali ya nchi hizo tajwa. Vyombo hivi vimesaidiwa kupata vibali vya kurusha matangazo kwenye maeneo ambayo nchi hizo zinadhani zinachafuliwa ama masalahi yake yaweza kuhatarishwa. Vyombo hivi vimefanya kazi kubwa sana kutimiza azma ya serikali hizo.

Ni kwa mtaji huu, binafsi nafikiri Serikali ya Tanzania iliwezeshe shirika la utangazaji la taifa TBC kupata leseni za matangazo huko huko kwenye mataifa tunapodhani tunahujumiwa kwa uongo. Shirika liwezeshwe kuboresha viwango vya watangazaji wake na hata kwa kupata watangazaji bora kutoka kwenye mashirika mengine makubwa ili kukidhi vigezo vya kuimarisha mbinu za kufuta uongo.

Hii itasaidia sana kumuwezesha rais wetu mpendwa Mama Samia KUENDELEA kufanya Kazi nyingine za kuboresha uchumi wa Taifa hili kwa ujumla.
😂😂😂😂 TBC hii hii ya kwetu hapa!!? Kwanza kabla hawajafanya hayo uliyosema naomba shirika linunuliwe camera mpya na za kisasa na matangazo yao ya video yawe kwenye high quality videos resolution (full HD) ili yaweze kuendana na ubora wa vituo vingne vya kimataifa
 
Kwamba Tanzania ni nchi ya amani, kumbe ni nchi ya uoga na ukimya
 
Kwamba Hamza alikuwa ni kiongozi wa Alshabab aliyejifunza kutumia silaha mitandaoni
Nalog off
 
Back
Top Bottom