Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.

Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Tanzania kuna Magaidi. Ndio uongo mkubwa na mbaya sana. Raisi anaenda kuufuta.
 
Hii kauli ili mlenga mr belgiji moja kwa moja
 
Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.

Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Labda zile khabarri za kizushi za kigogo eti jumong ni lesibian
 
Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.

Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Shemeji yetu Amsterdam, anayo majibu yote.
 
kwamba tanzania hakuna uhuru wa habari na demokrasia.
huu unduza hata wanaoambiwa wameukataa.
Ni kweli, mpaka wengine wengine wameamua kufunga ubalozi.
 
kwamba tanzania hakuna uhuru wa habari na demokrasia.

Ni kweli, mpaka wengine wengine wameamua kufunga ubalozi.
kwahiyo wamefunga sababu ya mwenendo wa demokrasia au wana mambi yao mengine!!!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ TBC hii hii ya kwetu hapa!!? Kwanza kabla hawajafanya hayo uliyosema naomba shirika linunuliwe camera mpya na za kisasa na matangazo yao ya video yawe kwenye high quality videos resolution (full HD) ili yaweze kuendana na ubora wa vituo vingne vya kimataifa
 
Kwamba Tanzania ni nchi ya amani, kumbe ni nchi ya uoga na ukimya
 
Kwamba Hamza alikuwa ni kiongozi wa Alshabab aliyejifunza kutumia silaha mitandaoni
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…