Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi ni nani anayemwamini huyu mama ?Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.
Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
kwahiyo katika makumi ya barozi nchini hapa walioona na kuumizwa na mwenendo wa demokrasia ni hao peke yao!!!mna marafiki wa aina gani nyinyi??Demokrasia
Tanzania kuna Amani wakati wananchi hawajawahi kupiga kura.
Tunataka hata ninyi watanzania wachache ambao hamuiangalii muiangalie baada ya serikali kufanyia kazi mapendekezo yangu na yale mapendekezo ya wadau wengine. Hii inaweza kufanyiwa kazi kama serikali itaifikiria TBC kama shirika la kulifaidisha taifa lote la Tanzania badala ya suala linaloelekea kufanana na kufaidisha wanaserikali wachache.TBC hii hii ambayo hata WaTz hatuangalii.?
Kama una vigezo vya kutosha omba nafasi ili udahiliwe chuo kikuu ukachukie shahada ya Uzamivu na katika tafiti yako ihusu 'uongo unaoenezwa huko nje kuhusu Tanzania.Kupitia tafiti zako utapata majibu yote na ya ziada.Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.
Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Nadhani anadanganywa tu. Nakumbuka Aljazeera walishaomba wafungue kituo cha kimataifa ukanda huu tukawakatalia. Hatutaki dunia itujue... lakini maajabu tunatengeneza filamu za maisha ya kifahari "royal tour", ili tukaudanganye ulimwengu?Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.
Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?