Ni upi msimamo wa Wanawake kuhusu Suala la Ushoga?

Ila nyie wanaume ni wanafikiiii tu..

Ili mwanaume awe shoga si anakua ameingiliwa na mwanaume mwenzie..Na wanaume hao hao wanoingilia wenzao ndo hujifanya kuchukia mashoga.
 
Hivi unakutana na shoga kama huyu. Hivi unaanzaje kuikwepa hii dhambi na ni dhambi imekaa kwenye mtego mtamu kupita maelezo. Yaani huyu ni mwanaume ila uzuri wake 90% ya wanawake hawamfikii na hawana mvuto kama huo.
 
the thread closed here. ulinena vizur
 
Sawa
Binafsi huwa nawashangaa, nyie wanaume mnavyoweza kuwafanya wanaume wenzenu, kwani hamuoni vibaya,

haya unavyombenua hivyo mwenzio sasa huyo mdudu wake unakuwa wapi.

Vile mnajiona nyie ni top au head ila hiyo siyo nzuri
Hatuwafanyi teena... Tulishaaachaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…