Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Mkuu hakuna samaki wa aina hiyo, mm nimesoma shahada ya sayansi za bahari chuo kikuu cha Dar es salaam, hivyo ninamjua huyo nguva ambaye watu hudanganywa kwamba anasura ya binadamu, jarib kusoma google samaki huyo anaitwa dugong
Kwahiyo hawa nguva huwa wanakua KE pekeyake bila ME, wana zaliana vp?
ulishawahi kumpakachua nini?Atakua mnato huyo.
Badala ya kuwzika wanapo kufa wawe wananipa mimi nimpikie paka wangu!
Mkuu KakaKiiza, asante. Hii habari ya kiumbe kinachoitwa nguva ni kweli yupo ila ni samaki tuu na sio kweli kuwa ni nusu mtu nusu samaki!. Picha zote za kiumbe hicho unazoziona ni za kutengeneza, yaani ni hoax tuu!, hata hii ulioileta ya huko Benin nayo ni hoax!.Hivi majuzi watu wa Benin walishuhudia Mnyama wa Baharini anayesadikika kuwa nguva akiwa amekufa ufukweni mwa bahari inasadikika alokufa na akapigwa na mawimbi hadi ufukweni......lakini cha kujiuliza je kutokana na hizi picha je niukweli?tofauti tulivyokuwa tukiambiwa kuwa nguva ni samaki wa kawaida tofauti na watu wanavyodhani kuwa Nguva anakiwiliwili cha binadamu na kiwiliwili cha samaki!
Mkuu KakaKiiza, asante. Hii habari ya kiumbe kinachoitwa nguva ni kweli yupo ila ni samaki tuu na sio kweli kuwa ni nusu mtu nusu samaki!. Picha zote za kiumbe hicho unazoziona ni za kutengeneza, yaani ni hoax tuu!, hata hii ulioileta ya huko Benin nayo ni hoax!.
Ili picha iweze kuwa bonafide genuine, kwa tukio la kustaajabisha kama hili, that picture has to have "life" yaani ilividi ipigwe kwenye background ya living thing!, watu, mwili unabebwa, mwili unahifadhiwa, mwili unafanyiwa uchunguzi etc, accopanied by video footage!.
Hoax kama hizi ziko nyingi tuu zikiwemo hoax za UFO, Lochness Monster, King Kong, Dinasauria, majini, ghosts etc,
Thanks.
Pasco