Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Mkuu hakuna samaki wa aina hiyo, mm nimesoma shahada ya sayansi za bahari chuo kikuu cha Dar es salaam, hivyo ninamjua huyo nguva ambaye watu hudanganywa kwamba anasura ya binadamu, jarib kusoma google samaki huyo anaitwa dugong

Thanks so much kwa kutufunulia ukweli..nimefurahishwa sana na mchango wako ndugu yangu!
 
mermaid-found-in-bulgaria.jpg
 
Ni kufikirika tu................Na wafikirika ni wengi......................
 
Hivi majuzi watu wa Benin walishuhudia Mnyama wa Baharini anayesadikika kuwa nguva akiwa amekufa ufukweni mwa bahari inasadikika alokufa na akapigwa na mawimbi hadi ufukweni......lakini cha kujiuliza je kutokana na hizi picha je niukweli?tofauti tulivyokuwa tukiambiwa kuwa nguva ni samaki wa kawaida tofauti na watu wanavyodhani kuwa Nguva anakiwiliwili cha binadamu na kiwiliwili cha samaki!
Source:
Dead Mermaid washed ashore on a beach in Benin- Photos.
 
Attachments

  • 1407757324484.jpg
    1407757324484.jpg
    26.8 KB · Views: 974
  • 1407757346247.jpg
    1407757346247.jpg
    52.8 KB · Views: 596
  • 1407757372606.jpg
    1407757372606.jpg
    36.4 KB · Views: 557
Sijui kwa nini sitaki kuamini kitu kama hicho.
 
Hivi majuzi watu wa Benin walishuhudia Mnyama wa Baharini anayesadikika kuwa nguva akiwa amekufa ufukweni mwa bahari inasadikika alokufa na akapigwa na mawimbi hadi ufukweni......lakini cha kujiuliza je kutokana na hizi picha je niukweli?tofauti tulivyokuwa tukiambiwa kuwa nguva ni samaki wa kawaida tofauti na watu wanavyodhani kuwa Nguva anakiwiliwili cha binadamu na kiwiliwili cha samaki!
Mkuu KakaKiiza, asante. Hii habari ya kiumbe kinachoitwa nguva ni kweli yupo ila ni samaki tuu na sio kweli kuwa ni nusu mtu nusu samaki!. Picha zote za kiumbe hicho unazoziona ni za kutengeneza, yaani ni hoax tuu!, hata hii ulioileta ya huko Benin nayo ni hoax!.

Ili picha iweze kuwa bonafide genuine, kwa tukio la kustaajabisha kama hili, that picture has to have "life" yaani ilividi ipigwe kwenye background ya living thing!, watu, mwili unabebwa, mwili unahifadhiwa, mwili unafanyiwa uchunguzi etc, accopanied by video footage!.

Hoax kama hizi ziko nyingi tuu zikiwemo hoax za UFO, Lochness Monster, King Kong, Dinasauria, majini, ghosts etc,

Thanks.
Pasco
 
Mkuu kwa maelezo yako naweza nikaamini ila bado swali langu lipo palepale hawa viumbe wapo?walikuwepo?na kwa nini Hadithi zake zimetamalaki sana si tanzania tu hadi ulaya wanaamini hiki kitu kipo japo mtasema wazungu brah brah ila haiwezekani ikaongelewa kihivyo kama visa kama hivi haivijawahi kutokea ulimwenguni.
 
Nguva yupo lakini si huyo... nguva mwenyewe ni samaki kabisa ila ni mkubwa na pia anapendelea kuibuka kwenye maji yaliyo na majani juu yake, watu hudhani ni nywele zake.... samaki huyu ananyonyesha pia ila ni samaki.
 
Back
Top Bottom