polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Yaani nieleweke hivi kama bint kavunja ungon huyo kisha komaa kwa kuzaa hiyo wala haina story hapo na hasa kama utaelewa maanaya kunja ungo unless kuwe na abnormalities za kimwili, lakini kama kavunja ungo akiwa katika hali ya mabadiliko kamili ya ukuaji wa kimwili huyo anazaa hata kama kavunja ungo akiwa na kiaka 8Hapana maana kuna earliers na wakawaida kuvunja ungo .
Watoto 8 to 14 years wanavunja ungo ,hawawezi kubeba mimba.
Kuna 15 to 18 hawa ndio atleast wanaweza kubeba mtoto .