Ni upi umri sahihi kwa mwanamke kupata mtoto wa kwanza

Ni upi umri sahihi kwa mwanamke kupata mtoto wa kwanza

Hapana maana kuna earliers na wakawaida kuvunja ungo .

Watoto 8 to 14 years wanavunja ungo ,hawawezi kubeba mimba.

Kuna 15 to 18 hawa ndio atleast wanaweza kubeba mtoto .
Yaani nieleweke hivi kama bint kavunja ungon huyo kisha komaa kwa kuzaa hiyo wala haina story hapo na hasa kama utaelewa maanaya kunja ungo unless kuwe na abnormalities za kimwili, lakini kama kavunja ungo akiwa katika hali ya mabadiliko kamili ya ukuaji wa kimwili huyo anazaa hata kama kavunja ungo akiwa na kiaka 8
 
Nyie ndio wale wanaotesa watoto zao na kuwaozesha ni early age
 
Nyie ndio wale wanaotesa watoto zao na kuwaozesha ni early age
Katika maisha halisi ya mwanadamu hakuna early marriages kwa binti aliye vunja ungo, na hakuna mtoto ikiwa amesha vunja ungo, huwezi kuita kifaranga wakati ni kuku anaye taga msibishane nanuhalisia wa uumbaji ndio maana mnatlazimisha mwanamke awe kama mwamaume
 
We nawe unatuletea habari za biblia, eti sara 🤣🤣🤣🤣 wadanganye watoto wa wenzio.

Mambo ya biblia yaache na biblia yake ndio maana kwenye biblia wafu walifufuliwa, leo hii nani anafufua wafu ? GWAJIMAAAAA 🤪🤪🤪🤪🤪🤪
Ukiwa na Imani hakuna jambo litashindikana.

Kuna Mama mtu mzima around 65, alipata mtoto wake wa kwanza akiwa na miaka 53.

Juzi nimetoka Kijijini nimemkuta huyo mtoto amefika darasa la 6 sasa

Hakuna kitabu kizuri kusoma kama Bible, maana kila jambo gumu ambalo linakutatiza ukisoma Bible unapata ufumbufuzi pamoja na matumaini
 
Mnafanya maisha kuwa magumu sana,bibi zako na mama zetu walituzaa hawana hata 100 na maisha yanaendelea kama kawa.yani uache kuzaa eti hadi Sikh utakapo pata hela usipopata Je?
Mkuu neno langu sio sheria, ila kama hauna kipato cha kueleweka sishauri Mzae maana watoto wataishi maisha magumu ya kuteseka
 
Back
Top Bottom