mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Kwa miaka hii uzazi ni changamoto sana,Wachache sn lakin
Allah atusikie tu vilio vyetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa miaka hii uzazi ni changamoto sana,Wachache sn lakin
HakikaKwa miaka hii uzazi ni changamoto sana,
Allah atusikie tu vilio vyetu.
Kwa miaka hii uzazi ni changamoto sana,
Allah atusikie tu vilio vyetu.
Jibu zuri.Achana na umri... mi naona mwanamke anatikiwa apate mtoto wa kwanza akishaolewa yani akiwa kwenye NDOA
Kweli kabisa,ukitizama hapo nyuma mama zetu wametupata wakiwa na15+Watu tunachelewa kuoa na kuolewa.. uzazi lazima uwe mgumu.
Mwanamke anaolewa akiwa na 28 years ama 30s. Uzazi unaleta shida sababu ya age
[emoji120]Jibu zuri.
Shida yenu warembo wetu wa jf ndio hiyo haya bana 🚶♂️Bado kwanza Hadi tarehe 27 mwezi wa 7 mwaka 2027.
Kweli kabisa,ukitizama hapo nyuma mama zetu wametupata wakiwa na15+
Miaka 30 vp25 below Kama hajawai kutoa hata mimba,Zaid ya hapo jiandae kwa complication lukuki za uzazi
100% kweliAchana na umri... mi naona mwanamke anatikiwa apate mtoto wa kwanza akishaolewa yani akiwa kwenye NDOA
Ni kweli it can go either way ila i dnt see how god comes into play ndio shida yangu.Katika vitu sio vya kufanya judgement ni suala la uzazi
Maana unaweza kuta n default ya mwanaume pia
Una evidence?Mwanamke mwenye umri mdogo akiguswa tu na mbegu za kiume mimba hiyo hapo.
Ndio maana ma house girl ama mabinti wanafunzi wana kesi za mimba sana.
Binti wa miaka above 30 ambaye hajawai kuzaa kumtia mimba ni kazi ngumu
Kuna kinywaji chochote unatumia? Niko hapa kukulipia bill mkuu.Achana na umri... mi naona mwanamke anatikiwa apate mtoto wa kwanza akishaolewa yani akiwa kwenye NDOA
N A K A Z I A [emoji419]Achana na umri... mi naona mwanamke anatikiwa apate mtoto wa kwanza akishaolewa yani akiwa kwenye NDOA
Ni kweli ki_biolojia mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kuvunja ungo hiyo sikatai, lakini huoni unaiweka rehani roho ya aliye tumboni au ya mama rehani??? Wengi wao wanajifungua kwa kisu.0
Ukiwa na uelewa mdogo huwezi kunielewa au kama biology ulikuwa unaikwepa
Nani alikwambia? Achana na porojo za wanaharakati mzee binti akisha vunja ungo anazaa kawaida kabisa na kama atahitaji kisu badi hata angefika mika 30 bado atajifungua kwa kisuNi kweli ki_biolojia mwanamke anaweza kushika mimba baada ya kuvunja ungo hiyo sikatai, lakini huoni unaiweka rehani roho ya aliye tumboni au ya mama rehani??? Wengi wao wanajifungua kwa kisu.
Sawa mkuu ngoja wapekechwe sasa.Nani alikwambia? Achana na porojo za wanaharakati mzee binti akisha vunja ungo anazaa kawaida kabisa na kama atahitaji kisu badi hata angefika mika 30 bado atajifungua kwa kisu
Ukiielewa dhana ya kuvunja ungo basi huwezi kuwa na maswali kuhusu hilo
Hapana maana kuna earliers na wakawaida kuvunja ungo .Ukisha vunja ungo tuu unatakiwa upate mtoto