Ni upi umri sahihi kwa mwanamke kupata mtoto wa kwanza

Ni upi umri sahihi kwa mwanamke kupata mtoto wa kwanza

Jaman ningependa kuulz umri sahihi kwa mwanamke kupata mtt wake wa kwnz ni upi ? Em tuambiane wana Jf
CCBRT wanasema miaka 21 nyonga zinakuwa zimeshakomaa anaweza kupata mtoto.
Pia akiwa anajielewa na kuweza kumpambania mtoto na akiwa na afya bora ni 21 hadi 45[emoji4][emoji120]
 
Umri utakapofanikiwa kupata mtoto/watoto ndiyo umri sahihi kwako

Kuna watu wamepata first born wao wakiwa na miaka 16/20/36/42 n.k kutegemeana na mipango yenu na mwenza wako.

Usiharakishe kupata mtoto/watoto kama haujajipanga/hujajiandaa KIMAISHA kwani watoto/mtoto anahitaji matunzo ambayo kama hujajipanga utafanya mtoto aishi maisha ya shida wakati hakuomba mumlete Duniani aje ateseke.

Ukisoma Biblia Sarah mke wa Ibrahim alipata first born wake akiwa Mzee, hivyo wewe pia hujachelewa kumpata mtoto muhimu uwe umejipanga kumlea na kumtunza sio uzae mtoto ukose hata net ya kumkinga na Mbu
 
Kanuni ni kwamba bint akisha vunja ungo tu, yupo tayar kwa azazi ! Hayo mambo ya sijui mtoto sijui miaka 18 sijui mwanafunzi hizo ni porojo za wanaharakati tu.

Na hasa wale wanao taka kulazimisha hadhi ya mwanammke ilingane na mwanaume
Miaka 8,9,10,11,12 wazae [emoji15]
 
Kanuni ni kwamba bint akisha vunja ungo tu, yupo tayar kwa azazi ! Hayo mambo ya sijui mtoto sijui miaka 18 sijui mwanafunzi hizo ni porojo za wanaharakati tu.

Na hasa wale wanao taka kulazimisha hadhi ya mwanammke ilingane na mwanaume
Mtag mwalimu wako mkuu arudishe ada yetu, tukaitumie kwenye kilimo.
 
Waoaji wapo. Shida waolewaji wanawaona wanaume waoaji ni washamba. Hivyo wakitongozwa wanakataaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio hata km mafurushi ukubali kuolewa jamani?!!! Mtuonee huruma
 
Ukisha barehe na vichuchu kusimama tu shida hakuna ukikutana na brother men mimba imo hivyo weka tathimini
 
Back
Top Bottom