Ni upi umri sahihi kwa mwanamke kupata mtoto wa kwanza

Ni upi umri sahihi kwa mwanamke kupata mtoto wa kwanza

Kanuni ni kwamba bint akisha vunja ungo tu, yupo tayar kwa azazi ! Hayo mambo ya sijui mtoto sijui miaka 18 sijui mwanafunzi hizo ni porojo za wanaharakati tu.

Na hasa wale wanao taka kulazimisha hadhi ya mwanammke ilingane na mwanaume
Achana na umri... mi naona mwanamke anatikiwa apate mtoto wa kwanza akishaolewa yani akiwa kwenye NDOA

Naomba urudie kuisoma mara 2 labda utaelewa statement yangu au ni badili lugha[emoji23][emoji23] jokes
 
Mtoa mada ameuliza umri sahihi... kibailojia ni kuanzia 12-14 yrs ikashavuka 35 chance zinaanza kupungua...by 45 uwezekano wakupata mimba naturally ni kwa maombi na miujiza...
 
Achana na umri... mi naona mwanamke anatikiwa apate mtoto wa kwanza akishaolewa yani akiwa kwenye NDOA

Naomba urudie kuisoma mara 2 labda utaelewa statement yangu au ni badili lugha[emoji23][emoji23] jokes
Hakuna kanuni ya kuzaa ukiwa kwenye the so called NDOA kanuni hiyo haipo na hiyo siyo human nature bali ni taratibu za kidini na baadhi ya desturi tuu lakini swala la kuzaa ni binti akisha vunja ungo tuu yupo tayari kuzaa kuanzia hapo hapo

Ndoa anaweza isubiri hadi anaifikia menopause mzee na bado asiipate hiyo ndoa je? Anakosa sifa za kuzaa?kiss hajapa ndoa?
 
Hakuna kanuni ya kuzaa ukiwa kwenye the so called NDOA kanuni hiyo haipo na hiyo siyo human nature bali ni taratibu za kidini na baadhi ya desturi tuu lakini swala la kuzaa ni binti akisha vunja ungo tuu yupo tayari kuza kuanzia hapo hapo

Ndoa anaweza isubiri hadi anaifikia menopause mzee na bado asiipate hiyo ndoa.
Umeninukuu vibaya mkuu sijasema ni kanuni it's just mtazamo wangu tu kwamba ni vizuri mwanamke akapata mtoto wa kwanza akiwa kwenye NDOA
 
Kama hana kipingamizi chochote mfano elimu. Umri sahihi wa mwanamke kuanza kuzaa ni miaka 18 mpaka 24

Huo umri mwanamke anabeba mimba na anazaa bila changamoto za uzazi
 
Back
Top Bottom