Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Nimepokea ushauri wako mpendwa
 
Huyo jamaa nae ni tahira utaombaje msamaha kwa kitu ambacho hujafanya?,na anaanzaje tena kuishi na Mwanamke anaye kusingizia uongo mkubwa namna hiyo mbele ya watu?
Huo ni utahira.
 
Kama unampenda Mke wako tafuta solution nyingine ili akuelewe, kama masikio mawili hayasikilizi basi zibuwa sikio la Tatu atakusikiliza tu.

Ukimrudisha kwao ndio umeshavunja hiyo ndoa na ukianza kummis wewe ndio umekwisha, utataka kumrudisha atakataa sasa utageuka wewe kuwa mtumwa.

Choose wisely.
 
huu ni woga wa maisha, aende kwao na kama ni muhitaji wa ndoa atakubali mabadiliko tofauti na hapo wapo wanawake wengi.
 
Kwenye hili ujinga upo kwa wanaume wenyewe, kabla ya Ndoa au kuamua kuishi na mwanamke kama wanandoa, Wanandoa Watarajiwa wanapaswa kusajili mali zao wanazomiliki kwa kila mmoja ili kuziondoa kutoka ktk mali ambazo zitahesabika kama Chumo la ndoa.
 
...wazazi kufedheheka labda siyo hawa wacheza vigodoro...

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
We mshenzi umeongea busara ya wazee 100 wenye busara
 
huyo jamaa fala sana
 
Naomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau vimetawala) .. unamtoaje ndani na kumfikisha kwao salama? Hebu mawazo yenu plz.. mana mtu unahitaji kufanya busara hata majirani wasijue kuna shida
 
Ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…