Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Ni upi utaratibu wa kumrudisha mke asiye na nidhamu nyumbani kwa wazazi wake?

Ktk maisha yako kuna watu ambao ukiwapoteza hauwezi kuwapata haijalishi au bora au sio bora watu hao ni kama, baba,mama,mtoto wako,kaka, dada,shangazi,nk hawa ndio watu muhimu kwa sababu hata iweje bado wapo ndani ya famili ,wanatumia jina moja la ukooo wenu.

Mke ukion anakusumbua tafuta mwingine
kama unaruhusiwa ndoa za wake 2 owa wa pili maisha yaende mbele
, leo ukifa mtoto wako atakuwa amepoteza baba, mama yako atakuwa amepoteza mtoto, dada yako atakuwa amepoteza kaka , mkeo atafutwa na yule jamaa aliekuwa anamtongoza kisha mkeo anajibu nina mume wangu sasa jamaa atakuja na kumwambia jamaa ashakufa tunafanye sasa.

Mwanamme ujiamini uwe shupavu kama mwanamke haelewi rudisha kwao atajifunza huko kama ndoa ni muhimu au la kuna wanawake wengine wanapewa kibuli na hawo ndugu zao,huwenda mama au baba anamwambia asikunyanyase kwenu haujauwa, jiongeze usije kufa mapema ukatuachia mjane na kuongeza single mother wengine
Nimepokea ushauri wako mpendwa
 
Ah ah apo inabidi uwe makini sana maana Kuna jamaa alimuambia mke wake aludi kwao maana amekuwa na dharau ivyo mwanamke alivyo fika kwao, wazazi wakumkuliza wewe mbona umeludi nyumbani kulikoni Binti akaanza kulia na kusema kwamba flani ananitaka kinyume na maumbile, Sasa ikabidi jamaa aitwe na kukalishwa chini mwisho wasiku ikabidi jamaa akubali kishingo upande na kuomba msamaha
Ivyo kuwa makini unavyo mludisha kwao usije ukajikuta wewe ndio unaenda kuomba msamaha
Huyo jamaa nae ni tahira utaombaje msamaha kwa kitu ambacho hujafanya?,na anaanzaje tena kuishi na Mwanamke anaye kusingizia uongo mkubwa namna hiyo mbele ya watu?
Huo ni utahira.
 
Habarini za usiku wapendwa

Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu naomba kwa wenye uzoefu wanijuze ni hatua gani za kufuata ili kumrudisha mwanamke kwao kwasababu amezidi kua na dharau na nishampa Warning sana bila mafanikio habadiliki na yote navumilia kwasababu ya mtoto tuliye nae najihisi huruma mtoto atateseka lakini pia kuishi na huyu mwanamke ni kero kubwa dharau zake ni hatari yani niko njia panda na mtoto ana miaka miwili sasa hivi na nimeamua mwanamke namrudisha kwao wakamfundishe kua na heshima kwa mume labda itasaidia na ndoa yetu sio ya kanisani ni ile nimelipa mahali tukaanza kuishi pamoja na kwa sasa hadi naogopa kufunga nae ndoa naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie utaratibu wa kumrudisha mwanamke kama huyu nyumbani kwao.

Naomba kuwasilisha.
Kama unampenda Mke wako tafuta solution nyingine ili akuelewe, kama masikio mawili hayasikilizi basi zibuwa sikio la Tatu atakusikiliza tu.

Ukimrudisha kwao ndio umeshavunja hiyo ndoa na ukianza kummis wewe ndio umekwisha, utataka kumrudisha atakataa sasa utageuka wewe kuwa mtumwa.

Choose wisely.
 
Huko kwao unakomrudisha si ndiko alikokulia? Hizo tabia unazoziona kajifunzia kwako?

Kumrudisha mke kwao ni kuwapelekea mke ma ex wake wakapashe viporo na ni udhaifu mkubwa Kwa mwanaume.

Cha kukushauri kaa nae Chini tena ili kumkanya ikishindikana tafuta wazee wake anaowaheshimu uwashirikishe waongee nae ikishindikana na hapo piga Chini.
huu ni woga wa maisha, aende kwao na kama ni muhitaji wa ndoa atakubali mabadiliko tofauti na hapo wapo wanawake wengi.
 
Siku hizi hakuna huo utaratibu akikuchoka anaenda mahakamani kuvunja ndoa mgawane mali na mahakama inaamuru abaki na nyumba alee watoto na wewe mume utoke uende kwa wazazi wako au ukapange, na uwe unamlipa hela kila mwezi. Yaani wanaume tumetungiwa sheria za kutukomoa wasioe wala wasizalishe watoto wawe mashoga tu au wateja wa machangudoa. Yaani Shetani ametubana sana
Kwenye hili ujinga upo kwa wanaume wenyewe, kabla ya Ndoa au kuamua kuishi na mwanamke kama wanandoa, Wanandoa Watarajiwa wanapaswa kusajili mali zao wanazomiliki kwa kila mmoja ili kuziondoa kutoka ktk mali ambazo zitahesabika kama Chumo la ndoa.
 
Kwanza mweleze kusudio lako la kutaka kumrudisha kwao akapumzike mapumziko mafupi ya mafunzo. Ukishamwambia hivyo akiona upo siriasi huwa wanabadilika.

Sasa asipobadilika mrudishe kweli. Sababu ya kumrudisha usiwaambie wazee yeye ndiye atawaambia na kama wana busara watakupigia simu kujiridhisha maelezo yake na yako kama yanalingana maana wajanja hawa, unaweza kumrudisha kwa sababu fulani halafu yeye akaenda kusema hajui sabubu iliyomrudisha nyumba.

Kiendo cha kuwa pale kwa wazazi kitawafedhehesha wazazi kwamba walikuwa na malezi mabovu, hivyo watajitahidi binti yao arudi mstarini ili maisha yaendelee mkiwa pamoja.
...wazazi kufedheheka labda siyo hawa wacheza vigodoro...

Sent from my Nokia C10 using JamiiForums mobile app
 
Ktk maisha yako kuna watu ambao ukiwapoteza hauwezi kuwapata haijalishi au bora au sio bora watu hao ni kama, baba,mama,mtoto wako,kaka, dada,shangazi,nk hawa ndio watu muhimu kwa sababu hata iweje bado wapo ndani ya famili ,wanatumia jina moja la ukooo wenu.

Mke ukion anakusumbua tafuta mwingine
kama unaruhusiwa ndoa za wake 2 owa wa pili maisha yaende mbele
, leo ukifa mtoto wako atakuwa amepoteza baba, mama yako atakuwa amepoteza mtoto, dada yako atakuwa amepoteza kaka , mkeo atafutwa na yule jamaa aliekuwa anamtongoza kisha mkeo anajibu nina mume wangu sasa jamaa atakuja na kumwambia jamaa ashakufa tunafanye sasa.

Mwanamme ujiamini uwe shupavu kama mwanamke haelewi rudisha kwao atajifunza huko kama ndoa ni muhimu au la kuna wanawake wengine wanapewa kibuli na hawo ndugu zao,huwenda mama au baba anamwambia asikunyanyase kwenu haujauwa, jiongeze usije kufa mapema ukatuachia mjane na kuongeza single mother wengine
We mshenzi umeongea busara ya wazee 100 wenye busara
 
Ah ah apo inabidi uwe makini sana maana Kuna jamaa alimuambia mke wake aludi kwao maana amekuwa na dharau ivyo mwanamke alivyo fika kwao, wazazi wakumkuliza wewe mbona umeludi nyumbani kulikoni Binti akaanza kulia na kusema kwamba flani ananitaka kinyume na maumbile, Sasa ikabidi jamaa aitwe na kukalishwa chini mwisho wasiku ikabidi jamaa akubali kishingo upande na kuomba msamaha
Ivyo kuwa makini unavyo mludisha kwao usije ukajikuta wewe ndio unaenda kuomba msamaha
huyo jamaa fala sana
 
Naomba tu niungie... Wakuta mwanamke wamuambia habari za kumrudisha kwao anakujibu live kuwa asee humu ndani sitoki hunipeleki popote hutaki toka wewe mi nipo, na tayari mahusiano mna mgogoro mnapishana mno.. still kauli ndio hiyo kuwa mi huniachi na hunirudishi kwetu.. (kiburi,dharau vimetawala) .. unamtoaje ndani na kumfikisha kwao salama? Hebu mawazo yenu plz.. mana mtu unahitaji kufanya busara hata majirani wasijue kuna shida
 
Kwanza mweleze kusudio lako la kutaka kumrudisha kwao akapumzike mapumziko mafupi ya mafunzo. Ukishamwambia hivyo akiona upo siriasi huwa wanabadilika.

Sasa asipobadilika mrudishe kweli. Sababu ya kumrudisha usiwaambie wazee yeye ndiye atawaambia na kama wana busara watakupigia simu kujiridhisha maelezo yake na yako kama yanalingana maana wajanja hawa, unaweza kumrudisha kwa sababu fulani halafu yeye akaenda kusema hajui sabubu iliyomrudisha nyumba.

Kiendo cha kuwa pale kwa wazazi kitawafedhehesha wazazi kwamba walikuwa na malezi mabovu, hivyo watajitahidi binti yao arudi mstarini ili maisha yaendelee mkiwa pamoja.
Ushauri mzuri
 
Back
Top Bottom