Mpondoshilla
Member
- Jul 4, 2022
- 36
- 132
Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika.
Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo.
Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.