RoDrick RaY
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 1,806
- 2,723
Mtu amenunua kiwanja na kupata.hati na huduma zingine za kijamii kama umeme,maji nk halafu umvunjie.Huyu sa100 wenu huyumajengo na nyumba zilizo nje ya utaratibu wa kisheria zitaondolewa bila kujali kuna El Nino ama hakuna.
In fact,
ni muhimu zaidi kupanga miji yetu na kua nadhifu wakati wote na inayofikika kirahisi.
Na ukishalipwa fidia, ondoka kwa hiyari bila shuruti, public sympathy isikupumbaze kwasababu haitakusaidia.
Tii sheria bila kificho na itapendeza zaidi
Gentleman,Mtu amenunua kiwanja na kupata.hati na huduma zingine za kijamii kama umeme,maji nk halafu umvunjie.Huyu sa100 wenu huyu
Wewe inakusaidia nini wengine wanapobomolewa nyumba!? f_ck you.majengo na nyumba zilizo nje ya utaratibu wa kisheria zitaondolewa bila kujali kuna El Nino ama hakuna.
In fact,
ni muhimu zaidi kupanga miji yetu na kua nadhifu wakati wote na inayofikika kirahisi.
Na ukishalipwa fidia, ondoka kwa hiyari bila shuruti, public sympathy isikupumbaze kwasababu haitakusaidia.
Tii sheria bila kificho na itapendeza zaidi
huo ni usumbufu wa kujitakia kwa makusudi kabisa,Wewe inakusaidia nini wengine wanapobomolewa nyumba!? f_ck you.
Nimeumia mnoInasikitisha sana na inatisha ukijiuliza ni binadamu gani anakuwa na roho mbaya kiasi hiki?
a El Nino sio la kitanzania nila DuniaMvua zinakuja
Sema muda bado . Tutafikiwa tuu..
Swala la El Nino sio la kitanzania nila Dunia
Chakuombea isivuke mipaka
Huko Libya Juzi imewakung'uta ipasavyo na wale wako jangwani, Muda wetu waja Kama uko kweli Bondeni Hama.
Ishu ya kubobolewa ni Mambo yalihitaji tuu hekima sio kama hivyo inavyosemekana ni ghafla. Ikiwa sio sehem sahihi kweli wangepewa Tarehe za kuondoka tena kwa kufatiliwa wenyewe kuliko Hili la hivi.
Hiyo nyumba imevunjwa maeneo gani gentleman?Gentleman,
hayupo mTanzania mwenye eneo la kiwanja chenye hati halali alie kwenye eneo sahihi atavunjiwa jengo lake bila utaratibu wa kisheria.
wanastahili kuhama maeneo walikolipwa fidia waondoke kwa hiyari bila shuruti, drama hazitazuia wao kuondolewa kwa mujibu wa sheria.
tii sheria bila shuruti na itapendeza zaidi
Umekuaje aisee?El Nino iko wapi? Mnavunja vibanda vya wabebwa kwenye malori kujaza uwanja, leo mmewageuka. Wanalalamika hawjalipwa fidia
Tujifunze uchawi,
Kwann watanzania mna tabia ya kuvunja sheria afu mnasingizia umaskini mara kabwela
Hao ni wavunja sheria wamejenga kwenye mkondo wa maji so haina haja ya kutumia kigezo cha umaskini kutetea ujinga
Wewe inakusaidia nini wengine wanapobomolewa nyumba!? f_ck you.
tuliza mihemko nonsense bas jukwaani gentleman na itapendeza zaidi,Kuna lichawa hapo juu linajibu kama tahira.
Hivi wewe Tlaatlaah kichwa chako kimejaa kinyesi eeh ?
Kama kulikuwa na ukiukwaji wa taratibu, kwa nini hatua za kisheria hazikuchukuliwa wakati wa foundation stage?
Au ujenzi ulipokuwa unaendelea, badala ya kusubiri jengo likamilike ndipo demolition ianze?
Katika construction regulatory compliance ni hatua muhimu zinazopaswa kuzingatiwa katika mzunguko mzima wa mradi au ?
Ikiwa ukiukwaji ulionekana mapema, hatua za udhibiti zingeweza kuchukuliwa kabla gharama za uwekezaji hazijawa kubwa.
Mmesha kula pesa yake ndo baadae mnakuja kufanya demolition.
Yani kati ya watu ambao huwa mnaongea pumba na dhahiri akili zetu zimejaa kinyesi ni pamoja na wewe.