Kabisaaa, kila mtu atafikiwa, hata CCM hawakuamini na wao watafikiwa pindi Lissu anawaambia wakimalizana na upinzani, watahamia kwenu.Tukiwaambia tuandamane nyie mnanunua vyakula na kujifungia ndani haya sasa kiko wapi?? kila mmoja ataguswa kwa namna yake
pwagu na pwaguzi mnapotoshana na kufarijiana kinyonge sana jukwaani aise dah!๐Kabisaaa, kila mtu atafikiwa, hata CCM hawakuamini na wao watafikiwa pindi Lissu anawaambia wakimalizana na upinzani, watahamia kwenu.
Wewe chawa unikome, nilishakuambia, mataqo yako wewe,pwagu na pwaguzi mnapotoshana na kufarijiana kinyonge sana jukwaani aise dah!๐
tuliza mihemko useless bas!Wewe chawa unikome, nilishakuambia, mataqo yako wewe,
a El Nino sio la kitanzania nila Dunia
ficha upumbavu wako
Inaumiza sana mtu kujichanga na kujenga nyumba na mwisho wa siku unaambiwa hapa ulipo jenga sio sahihi.El Nino iko wapi? Mnavunja vibanda vya wabebwa kwenye malori kujaza uwanja, leo mmewageuka. Wanalalamika hawjalipwa fidia
Em kwenda huko, mxxiieewtuliza mihemko useless bas!
na,
nisiwaone tena mkipotoshana namna hiyo sawa?๐
hilo fyonzo lazima litakua limeambatana na kunjo la kamdomo licha ya kua ulikua unaandika tu, dah!Em kwenda huko, mxxiieew
Tokaaa hapa ๐๐๐hilo fyonzo lazima litakua limeambatana na kunjo la kamdomo licha ya kua ulikua unaandika tu, dah!
hata hivyo,
siendi mahali kwingineko zaidi ya JF ๐
mi sitoki, siendi na sishuki ๐Tokaaa hapa ๐๐๐
Ila neno "utabiri " linawasaidia.El Nino iko wapi? Mnavunja vibanda vya wabebwa kwenye malori kujaza uwanja, leo mmewageuka. Wanalalamika hawjalipwa fidia
Mxxxiiiieeewmi sitoki, siendi na sishuki ๐
ok,Mxxxiiiieeew
๐ฎok,
naona remix hiyo dah ๐
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni ametoa ufafanuzi kuwa wanaobomolewa wameshalipwa fidia muda mrefu, wananchi walijua serikali imesahau , wengine wakauza na wengine wakaongeza vyumbaKwann watanzania mna tabia ya kuvunja sheria afu mnasingizia umaskini mara kabwela
Hao ni wavunja sheria wamejenga kwenye mkondo wa maji so haina haja ya kutumia kigezo cha umaskini kutetea ujinga
ok.๐ฎ
๐ฎok.
pata tama la maji baridi plz,
ushushe joto la mihemko kidogo na itapendeza zaidi ๐
ok.๐๐ฎ