Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Mudy alisema pia watu wakishapoo watumie jiwe kujisafishia.
hili mbona mmeliacha ?
hili mbona mmeliacha ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia kijana. Tukimaliza tunasalimiana kwa mikono huku unyevu nyevu wa mkojo ukiwa upo mikononi.Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.
Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.
Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.
Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.
Naomba kuwasilisha
Hiyo ya kujipakaza mikojo siyo big Issue kwao cha msingi ni kupingana na mafundisho yanayoonekana kama yanajinasibisha na uislam, yawe na faida aulaah wao ni kupinga tu mwanzo mwishoMleta mada amebainisha hoja zake ila kuwa ukikojoa umesimama kuna uwezekano mkubwa chembechembe za mkojo kukurukia ambazo ni uchafu.
Ila waliompinga hawajatoa hoja kwamba hilo linashikana vipi, bali wameonyesha kuwa hatakama ni hivyo wao hawajali.
Na huu ndio uchafu anaouzungumzia mleta mada.
Muislamu safi haingii bar Ndugu kwanza pombe haramuKwenye vyoo vya bar siwaoni hao waislamu Safi wakikojoga kwa kuchuchumaa au wakiosha ninihii zao baada ya kukojoa ?
Asante kwa ufafanuzi mkuu.Muislamu safi haingii bar Ndugu kwanza pombe haramu
Na mm ambaye nikitaka kukojoa naweka mikono chini miguu juu nakomenti wap ??😁😆😇🤣Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.
Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.
Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.
Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.
Naomba kuwasilisha
Nina imagine umevaa suti yako nadhifu halafu unachojoa suruali kutawadha!Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.
Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.
Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.
Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.
Naomba kuwasilisha
[emoji38]Asante kwa ufafanuzi mkuu.
Sasa nimeelewa.
Kumbe Hawa waislamu wote nilio nao hapa bar ni waislamu wa ovyo.
[emoji1787]Nafikiri wanaume wakiislamu waliletewa hii issue sababu ya uvaaji kanzu na misuli.
Hawatofautiani na waliovaa gauni/sket au dera kwa hiyo kuchuchumaa ndiyo mpango mzima.
Hakuna hoja yoyote yenye mashiko kwenye issue ya usafi.
Inatakiwa uvue nguo ndo ujambe,Ukijamba ukiwa umevaa una vua una kung'utaAshakum si matusi...
Ukijamba je? Ushuzi nao si uchafu? Nao unachuchumaa au ukijamba unavua chupi fasta na kuikung'utaa??
Asilimia 99 ya watu walio makini kwenye tabia za namna hii maishani, maisha yao na vipato vyao huwa duni sana. Sijui inasababishwa na nini.Unless unakojoa polini kwenye majani, sehemu yene mchanga mwingi au vile vyoo special vya juu hasa vinavyokuaga stand za mabasi au vyoo vya kulipia au vile vya shimo la moja kwa moja unaweza ukasimama, ila hivi vyoo vya sink na kwengineko ni uchafu mwanaume kukojoa umesemama.
Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.
Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.
Pia hakikisha umemaliza kila kitu ndio unawe na kuiingiza ndani vinginevyo kuna vidogo vidogo vinavyobakia vinakua vinakuja taratibu mwishoni na unaweza usifahamu.
Naomba kuwasilisha
Nimekuelewa mwambaHizi habari tuulize sisi Wanaume wenye dhakari. Nani amekwambia kukojoa kwa kusimama ni urijali ? Urijali haupimwi kwa kukojoa, kuna makhanithi wengi wanakojoa kwa kusimama.
Mimi mara nyingi nakojoa kwa kuchuchumaa kuliko kukojoa kwa kusimama na nikimaliza lazima nioshe Dhakari yangu,ikitokea sina maji basi nitatumia udongo, au mchanga, au majani au jiwe. Hii hutegemeana na mazingira ila kwetu sisi wanaume kukojoa kwa kuchuchumaa ni bora na kunapendeza zaidi kutokana na msingi wa kuepuka kupatikana mabaki ya mkojo katika nguo, sababu mkojo ni najisi.
Ukikojoa kwa kuchuchumaa dhakari inakuwa free sana ina kuwa ime relax mno, na mkojo unatoka katika hali tulivu na murua, kuliko ukiwa umesimama, ukiwa umesimama dhiki inakuwa kubwa na usipo kuwa makini unaweza kuubakiza mkojo.
Wote walio unga mkono kukojoa kwa kuchuchumaa, wanajua wanamaanisha nini na wako sahihi.
Mkojo ni uchafu na hutakwii ubaki nao. Kama huna maji basi tumia udogo, majani au jiwe, yaani kuosha dhakari baada ya kukojoa ni lazima.
Shukrani.
Kuna ukweli, naafikiana naweUkikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.
Tukikosa maji tufanyejePia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.
🙏Na mtu aweze kukosha kitoka mkojjo kama ambavyo anakosha kitoka kinyesi.