Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

Tulia kijana. Tukimaliza tunasalimiana kwa mikono huku unyevu nyevu wa mkojo ukiwa upo mikononi.

Usiombe zakali kupata hamu na jamaa akalishika, akikusalimia manii yanakuhusu Sheikh wangu.

Corona ilitufunza suala la usafi.

Hii kusalimiana kwa mikono inataka moyo.
 
Hiyo ya kujipakaza mikojo siyo big Issue kwao cha msingi ni kupingana na mafundisho yanayoonekana kama yanajinasibisha na uislam, yawe na faida aulaah wao ni kupinga tu mwanzo mwisho
 
Na mm ambaye nikitaka kukojoa naweka mikono chini miguu juu nakomenti wap ??😁😆😇🤣
 
Hivi sasa kuna vyoo maalumu kwa ajili ya wanaume tu. "Urinal bowls" vimewekwa maalumu kwa pozi la asili la kusimama wakati wa "short call" kwa jinsi ya kiume. Sasa hili pozi la kutaka kuchuchumaa mbona lipo tofauti ya asili ya kiume!?

Mleta mada sijui kama umewahi kusoma shule za "boarding" za kiume ama uliwahi kupitia JKT. Yaani wakati wa kipindi cha shida ya maji, pale mnapolundikwa sehemu moja mpate kuoga halafu wewe umaleta hizo pozi zako za kukojoa ukiwa umechuchumaa! Duu sijui hata ungeonekanaje!

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Nina imagine umevaa suti yako nadhifu halafu unachojoa suruali kutawadha!

Pengine uvae kanzu.
 
Ndo maana ushoga unasambaa sana ....mambo kama haya....ukishaanza kojoa huku umechuchumaa unaanza jisikia kama mwanamke mwishowe unajaribu ku.... Yaani mwnaume unakojoa huku umechuchumaa eti kuwa msafi wakati hapo chini ndo unasogelea huo uchafu.
 
Haw wanaoeneza Sera za ushoga wameshtukia saiz wameanza kueneza Sera kisha kurudia mambo yao yaleyale, Mwanaume unachuchumaa vipi kukojoa?

Yaani take image unakatiza Mara unakuta mwanaume kachuchumaa anakojoa duuh? Qumamae!
 
Nafikiri wanaume wakiislamu waliletewa hii issue sababu ya uvaaji kanzu na misuli.

Hawatofautiani na waliovaa gauni/sket au dera kwa hiyo kuchuchumaa ndiyo mpango mzima.

Hakuna hoja yoyote yenye mashiko kwenye issue ya usafi.
[emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ila watu basi tu.!!Yani mwanaume unavua nguo unachuchuma ili ukojoe,then unaosha na maji,Au jiwe,Poleni sana!! mwanaume ni kusimama na kusimamisha
 
Asilimia 99 ya watu walio makini kwenye tabia za namna hii maishani, maisha yao na vipato vyao huwa duni sana. Sijui inasababishwa na nini.
 
Nimekuelewa mwamba
 
Ukikojoa kwa kusimama Mkojo unaruka na kuingia kwenye nguo, ukutani na chombo cha karibu cha kuhifadhia maji au kunawia.
Kuna ukweli, naafikiana nawe
Pia ni vizuri kuosha zakali yako baada ya kukojoa, sio baada ya kukojoa unaiingiza tu kwenye suluali na kufunga zipu.
Tukikosa maji tufanyeje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…