Ni usafi mwanaume kukojoa kwa kuchuchumaa na kisha kutawadha baada kumaliza

 
Taratibu za waarabu mana wanavaa kanzu hivyo lazima uchuchumae ukitaka kukojoa usije ikojolea kanzu ukaonekana kikojozi.
 
Moderator mrudisheni jukwaa la Dini ..ona hii mada ya kidini ila wanaijadili kama Jamii health
 
Sweden ukikutwa unakojoa umesimama na ukapatwa na hatia jela na faini ziko juu yako......Na kama mfanyakazi wa serikali kama Polisi utapunguzwa cheo au kupunguziwa madaraka yako,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…