Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Kwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya akubalike kila mmoja wetu anakifahamu.
Zile maneno na talalila kuwa watu mliibiwa kura au kura zilipigwa kabla ya uchaguzi ni ngumu kuaminika mbele ya umma. Maana hata mjengoni 90% ya wabunge wa CCM walipitia upepo wa hayati JPM.
Anyway yaliyopita sindwele, tugange yajayo.