Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Du! Unaweza jikuta unacheka msibani [emoji2960][emoji2960][emoji2960]Kwa sisi ambao tumewahi kujaa kwenye maziko ya kibaka maarufu mtaani kwetu hatuoni jipya. Labda wewe mtaani kwenu maiti za vibaka hususwa kuzikwa, hata hivyo watu wa Dar huwa hawana dogo, hata dogo akipigana na dogo mwenzake watu watajaa na kila mtu na simulizi yake.
Kwa nyongeza cnn wameandikaKwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai,jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya akubalike kila mmoja wetu anakifahamu.
Zile maneno na talalila kuwa watu mliibiwa kura au kura zilipigwa kabla ya uchaguzi ni ngumu kuaminika mbele ya umma. Maana hata mjengoni 90% ya wabunge wa Ccm walipitia upepo wa hayati JPM.
Anyway yaliyopita sindwele,tugange yajayo.
Labda kwenu.Usilolijua ni kua wabongo wanafiki sana..hujawahi kuona kibaka..mwizi..muuaji siku ya msiba wanasema alikua mwema..mtu wa watu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Unauliza habari ya watu 3 kati ya mil 12. Inaingia akilini?Kwa hyo wote walioenda msibani walimpa kura? Hata wale kina mnyika?
Nonsensical comparison.Daah tena na tena unajua Amin watu walifurika...ata Osama wangeuleta mwili wake USA au popote ili watu wamshuhudie na kuhakikishia viwanja vingejaa tu.
MUNGU ILAZE PEMA ROHO YA MAREHEM MWENDAZAKE JPM
🙏Mtaandika sana mwaka huu, ameshakufa Mungu kawamaliza nyodo yenu nyie mumebaki kupayyuka