tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Mungu fundi yani kelbu moja zito mtu kameza ulimi,[emoji870]moreeeKwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya akubalike kila mmoja wetu anakifahamu.
Zile maneno na talalila kuwa watu mliibiwa kura au kura zilipigwa kabla ya uchaguzi ni ngumu kuaminika mbele ya umma. Maana hata mjengoni 90% ya wabunge wa CCM walipitia upepo wa hayati JPM.
Anyway yaliyopita sindwele, tugange yajayo.
It's a terrible mixture of fear, terror and apprehension about the future, mass hysteria and possibly genuine grief as well.Kwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya akubalike kila mmoja wetu anakifahamu.
Zile maneno na talalila kuwa watu mliibiwa kura au kura zilipigwa kabla ya uchaguzi ni ngumu kuaminika mbele ya umma. Maana hata mjengoni 90% ya wabunge wa CCM walipitia upepo wa hayati JPM.
Anyway yaliyopita sindwele, tugange yajayo.
Exactly!It's a terrible mixture of fear, terror and apprehension about the future, mass hysteria and possibly genuine grief as well.
"It's very difficult to know the reality and I think we'll never know the reality. There are huge cultural barriers anyway and then you have to remember this is a regime where everything that isn't forbidden is compulsory, so it's difficult to know what their state of mind really is."
Idiotic replyNonsensical comparison.
Kifo chake mlipanga ndiyo mje mjibu kama hamkuiba?Kwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya akubalike kila mmoja wetu anakifahamu.
Zile maneno na talalila kuwa watu mliibiwa kura au kura zilipigwa kabla ya uchaguzi ni ngumu kuaminika mbele ya umma. Maana hata mjengoni 90% ya wabunge wa CCM walipitia upepo wa hayati JPM.
Anyway yaliyopita sindwele, tugange yajayo.
Huna akiliKwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya akubalike kila mmoja wetu anakifahamu.
Zile maneno na talalila kuwa watu mliibiwa kura au kura zilipigwa kabla ya uchaguzi ni ngumu kuaminika mbele ya umma. Maana hata mjengoni 90% ya wabunge wa CCM walipitia upepo wa hayati JPM.
Anyway yaliyopita sindwele, tugange yajayo.
Nimetambua wewe ni mtu wa visasi Sana, inaelekea jirani zako ambao umetofautiana nao wakifiwa huwa huendi kuzikaKwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.
Kwa hali na mazingira tuliona jana ni wazi kabisa alikuwa anakubalika kwa wananchi, hasa wa kawaida ambao ni wapiga kura. Kilichomfanya akubalike kila mmoja wetu anakifahamu.
Zile maneno na talalila kuwa watu mliibiwa kura au kura zilipigwa kabla ya uchaguzi ni ngumu kuaminika mbele ya umma. Maana hata mjengoni 90% ya wabunge wa CCM walipitia upepo wa hayati JPM.
Anyway yaliyopita sindwele, tugange yajayo.
🙏Nimetambua wewe ni mtu wa visasi Sana, inaelekea jirani zako ambao umetofautiana nao wakifiwa huwa huendi kuzika
ROHO ULIYONAYO NI YA KICHAWI
Daah! Wee bonta hujafikiri sawa sawa, anyway umekunywa dawa zako lkn tusiwe tunakuonea bureKwamba kura alizopata hayati JPM zilipatikana kwa mizengwe ya kuongeza moja au sufuri kama baadhi ya wapinzani na wapingaji wanavyodai, jibu tumelipata jana.