Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Ni ushauri tu: You can either take it or leave it

Uliyo yasema ni jambo la msingi sana katika ndoa . Mambo yote yanaweza vumilka lakini siyo kutoka nje ya ndoa, hili jambo lazima mtu yeyote anayetaka kuingia kwenye ndoa atambue hilo. Uvumilivyo kwenye suala la kutoka nje ya ndoa linaweza kuwa na madhara makubwa sana, watu wameshapoteza maisha kwa kuvumilia hili jambo.
Thanks mkuu nashukuru kwa mchango wako ni jambo la msingi sana uliloliongelea kama hatutaweza kwenda na kuelewa umuhimu wake basi madhara ni makubwa kama ulivyosema
 
2 tickets for michell and hashc
comeing up..

going to hawaii for a second honeymoon hahahaah lol

me very happy now..
Dont like c hashc to sad...lol

am grateful,and forever will be......
 
hahahhahahah lol
labda huko
umenichekesha kwa kweli
na nilikuwa na mawazo mengi lol

uliwaza tu nini mpaka ukachagua huko hahahah lol
Nataka nimsaidie Hashy bana matatizo yaishe can't leave my bro like that ila huyu Michelle anapenda kweli kutesa na kuwapa wenzake hardtime khaaaaa!!!!!!!!
 
Honeymoon ya nani tena ,hebu subiri Valentine day iwadie

inabidi tuwarudishe HashC na Michell pamoja ajili GY naona anakaz mwendo kwa Michell
na HashC ni mpole..

Tufanye sasa hivi ili siku ya Valentine ni:A S-rose:na hii:busuna kuambatana na hii:A S-heart-2: hahahah lol
 
Tuna kikao.....kujadili mustakabali wa hii thread.....vijana hamna adabu...mko OFF TOPIC vibaya.....:laugh::laugh:
Na sisi tuna kikao na mke wangu tunakujadili wewe na GY
 
Back
Top Bottom