The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
- Thread starter
- #261
Hawa sijui tuwapeleke VIRGIN ISLANDSEvery thing is under control hahaah lol
we just take it slow..lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa sijui tuwapeleke VIRGIN ISLANDSEvery thing is under control hahaah lol
we just take it slow..lol
Thanks mkuu nashukuru kwa mchango wako ni jambo la msingi sana uliloliongelea kama hatutaweza kwenda na kuelewa umuhimu wake basi madhara ni makubwa kama ulivyosemaUliyo yasema ni jambo la msingi sana katika ndoa . Mambo yote yanaweza vumilka lakini siyo kutoka nje ya ndoa, hili jambo lazima mtu yeyote anayetaka kuingia kwenye ndoa atambue hilo. Uvumilivyo kwenye suala la kutoka nje ya ndoa linaweza kuwa na madhara makubwa sana, watu wameshapoteza maisha kwa kuvumilia hili jambo.
Du ze nidful nakuaminia kipenzihembu tuwaonganishe hawa wajukuu sis tukamiliziane chumbani hahah lol
Hawa sijui tuwapeleke VIRGIN ISLANDS
Lol!!!!!!!!!!Mamito.. Kabla hajaja kwako alikua kwangu... WATCH OUT :glasses-nerdy:
2 tickets for michell and hashc
comeing up..
going to hawaii for a second honeymoon hahahaah lol
me very happy now..
Dont like c hashc to sad...lol
:msela::msela::msela:Sasa mkaka humu unadhani hata kuna wadada na wakaka humu, humu kuna keyboard tu....hivi keyboard yako ni jinsia gani?
Nataka nimsaidie Hashy bana matatizo yaishe can't leave my bro like that ila huyu Michelle anapenda kweli kutesa na kuwapa wenzake hardtime khaaaaa!!!!!!!!hahahhahahah lol
labda huko
umenichekesha kwa kweli
na nilikuwa na mawazo mengi lol
uliwaza tu nini mpaka ukachagua huko hahahah lol
ati nini??Aisee kweli TF ni hartibreka... Ati nimeshakua tabloid news.... uwiiiiiii...
Utazoea mkuu, mwanzo mgumu lol!!!!!Asante naona kama mnanichanganya hapa labda nitazoea
Hizo ndio tabloid news nilizokuwa nakwambiaati nini??
Kumbe ndo hivyo sioi ng'o
Mamito.. Kabla hajaja kwako alikua kwangu... WATCH OUT :glasses-nerdy:
Hashy, michelle nawatafuta siwaoni banaa
Honeymoon ya nani tena ,hebu subiri Valentine day iwadie
Honey wanataka kuleta malumbano hao na tabloid news zao usichanganyikiwe kipenzi:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:
Mwambie hizo THEORY ni za kwake mwenyewe kwetu they don't apply
Na sisi tuna kikao na mke wangu tunakujadili wewe na GYTuna kikao.....kujadili mustakabali wa hii thread.....vijana hamna adabu...mko OFF TOPIC vibaya.....:laugh::laugh:
Umemuona Michelle anajifanya eti anajadili mustakabali wa hii THREAD kumbe yuko na GYthis is the reason i cant get enough of u hahah lol