miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
ha haha acha utani wewePili B,Kwa Mwalimu Zena
ha haaha nilikuwa kakubwa sd 7la pili C
ulikua hutumwi sokoni?ha haaha nilikuwa kakubwa sd 7
mama alikuwa mkali sana siruhusiwi kutokaulikua hutumwi sokoni?
Wewe na mimi hatupishani jamani. Nilitegesha saa iniamshe saa kumi na mbili asubuhi kumbe nimekosea nimetegesha saa sita usiku. Saa sita usiku alarm ikalia miye huyo bafuni ( pamoja na kuona nimelala muda mfupi) , nikafungua shower kuanza kuoga mama kasikia, kaja kunigongea bafuni nilipofungua akaniambia mbona unaoga saa hizi nikamwambia najiandaa kwenda shule akasema nenda kalale muda ukifika nitakuamsha ( alijua tu ni muhemko wa Form One) ooh mama (RIP)nakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
inaonyesha ulikua mtundu sanamama alikuwa mkali sana siruhusiwi kutoka
Kabati lilikuwa tayari limeshavunjwa?ha haaha nilikuwa kakubwa sd 7
illikuwa badoKabati lilikuwa tayari limeshavunjwa?
Ha ha haaaa, Kama jamaa alinifanyia Hii kitu basi alinikomoa haswaaaKukopera kwa jina jingine ni inaitwa chuma ulete.. Yan kwa mfano unanmpa mtu buku anakurudishia jero , ukiliweka mfukoni ni dakika chache tu unajikuta huna hata kitu.. Ni design ya utapeli wa kimazingaombwe
Ha ha haaaa, kitu uniform mpya na sox Za pundamilianakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
Ulianza vzrHaukugeuzwa kweli...!?
Haukugeuzwa wewe kuwa ng'ombe mkuu...!?
Ni kweli kalikuwa na ngoma?Enzi nipo chuo kuna binti nilikuwa napiga mambo yetu sasa nikakosana nae usiku akanitumia meseji "kwanza nimeisha kuua kwa ukimwi" sikulala usiku kucha saa 11 nipo vct nacheki afya.
Nyambaffffff!Mimi usiku wa kuamkia uchaguzi mkuu 2015... Nilikua na wasiwasi... Wauni wanaweza kumpa kura Lowasa.. Niliwaza sana
Sasa hivi imeshavunjwa?Kabati lilikuwa tayari limeshavunjwa?