Ni usiku gani uliisha mapema kwako? Wangu huu hapa

Ni usiku gani uliisha mapema kwako? Wangu huu hapa

Geto tuko na mwalimu alikula mtoto wa shule na baada ya wiki hivi binti akamwambia 'mwalimu sioni siku zangu' jamaa alikuwa anageukia kila upande kila baada ya dakikia 5 akiwaza na sisi tulilala kimang'amung'amu.
 
nakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
Wewe na mimi hatupishani jamani. Nilitegesha saa iniamshe saa kumi na mbili asubuhi kumbe nimekosea nimetegesha saa sita usiku. Saa sita usiku alarm ikalia miye huyo bafuni ( pamoja na kuona nimelala muda mfupi) , nikafungua shower kuanza kuoga mama kasikia, kaja kunigongea bafuni nilipofungua akaniambia mbona unaoga saa hizi nikamwambia najiandaa kwenda shule akasema nenda kalale muda ukifika nitakuamsha ( alijua tu ni muhemko wa Form One) ooh mama (RIP)
 
mara ya kwanza demu wangu aliponiambia ana mimba.kipindi hicho tupo skull moja ilkuwa mida ya saa moja jion...akyamungu nilipaniki mpaka nikabanwa na tumavi lakin kwenda kunya hata tumavi ukagoma kutoka kabisa....
 
Kuna demu mzuri shombe shombe alikuja kwa Uncle wake jirani baada ya 3 day nikatupa ndoano akakubali next day nikala mzigo lodge hiyo siku mida usiku akanutumia msg..
She-Naomba msamaha kabla sijakuambia. Nilitaka kukuambia kuwa nimeadhirika na HIV tutumie condom lakin nilisahau kwa utamu uliokuwa unanipa Naomba msamaha
Duh!! Nilipatwa na Bp ya ghafla kijasho mpaka kwenye ikulu sikupata usingizi nilishutkia ni 6:46 Am nilivaa nguo chap nakuelekea VCT kupima njian niliona kama sifiki hatua mbili mbele kumi nyuma nikapima fresh majibu "Negative" after 3 month majibu tena "negative" basi nikaona mi ni mzima basi nikamfata nikamwambia nimekusamehe lakini nahamu na papuchi yako sana..
 
Kukopera kwa jina jingine ni inaitwa chuma ulete.. Yan kwa mfano unanmpa mtu buku anakurudishia jero , ukiliweka mfukoni ni dakika chache tu unajikuta huna hata kitu.. Ni design ya utapeli wa kimazingaombwe
Ha ha haaaa, Kama jamaa alinifanyia Hii kitu basi alinikomoa haswaaa
 
nakumbuka usiku wa kuamkia kuanza form one ulikuwa na mawenge sana kwangu, nilivaa uniform saa nane usiku na kunywa chai kabisa kisa excitement ya kuanza shule. maza anashtuka ananikuta napiga silesi ya mkate nimechomekea uniform usiku mkali, aliishia kucheka tu.
Ha ha haaaa, kitu uniform mpya na sox Za pundamilia
 
Back
Top Bottom