Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
20250531_084346.jpg

 
Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
View attachment 3351609
View attachment 3351610
Kwa mambo ambayo kampuni zake zinafanya lazima awe tofauti na sisi tunaopambania chai ya asubuhi na ugali mbuzi mchana na kuona tumetoboa. Hapo mwenzio anaiona Mars kama iko white house vile 🤣🤣🤣🤣
 
Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
View attachment 3351609
View attachment 3351610

Clip ya AI hiyo, be careful siku hizi real and AI generated images or videos are the same, but utajua if is AI if you watched Live videos
 
Kumbuka Huyu ni reptile 🦎 au lizard people au super genius au transformers hawa mission yao Dunia ni lango la kupitisha bunifu au technology mpya au mawazo mapya duniani kupitia ndoto,maono kwa msaada wa viumbe vya kiroho kutoka ulimwengu wa nje na kuzileta duniani.
Hawa mda wote wanathink mambo makubwa hapo unaweza Dhani mpo nae kumbe ashahama anawaza bunifu zingine ni watu wasiopenda kusocial .
Pia huwa wanabadilika badilika sura thus wanaitwa reptile au watu mijusi.
Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha.
Mfano Lisu ni ukombozi na sio pesa au utajiri kwake havina thamani.
 
Back
Top Bottom