Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

Clip ya AI hiyo, be careful siku hizi real and AI generated images or videos are the same, but utajua if is AI if you watched Live videos
Hizi video za siku hizi usipokuwa makin unaaibika kweupee!!
 
Kumbuka Huyu ni reptile 🦎 au lizard people au super genius au transformers hawa mission yao Dunia ni lango la kupitisha bunifu au technology mpya au mawazo mapya duniani kupitia ndoto,maono kwa msaada wa viumbe vya kiroho kutoka ulimwengu wa nje na kuzileta duniani.
Hawa mda wote wanathink mambo makubwa hapo unaweza Dhani mpo nae kumbe ashahama anawaza bunifu zingine ni watu wasiopenda kusocial .
Pia huwa wanabadilika badilika sura thus wanaitwa reptile au watu mijusi.
Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha.
Mfano Lisu ni ukombozi na sio pesa au utajiri kwake havina thamani.
Mnafundishwa wapi hayo mambo?
Nipe reference ya vitabu.
 
Clip ya AI hiyo, be careful siku hizi real and AI generated images or videos are the same, but utajua if is AI if you watched Live videos
And very difficult or impossible to notice or differentiate
 
Aliwahi kusema ana usonji, clip ni real sio AI, mara nyingi tu camera huwa zinamnyaka anafanya vibweka, kuna moja alikuwa anachezea umma na vijiko mezani.
Ila ndiyo hivyo anahela nyingi
 
Kumbuka Huyu ni reptile 🦎 au lizard people au super genius au transformers hawa mission yao Dunia ni lango la kupitisha bunifu au technology mpya au mawazo mapya duniani kupitia ndoto,maono kwa msaada wa viumbe vya kiroho kutoka ulimwengu wa nje na kuzileta duniani.
Hawa mda wote wanathink mambo makubwa hapo unaweza Dhani mpo nae kumbe ashahama anawaza bunifu zingine ni watu wasiopenda kusocial .
Pia huwa wanabadilika badilika sura thus wanaitwa reptile au watu mijusi.
Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha.
Mfano Lisu ni ukombozi na sio pesa au utajiri kwake havina thamani.
Hapa umenizungumzia mimi kabisa aisee.
Kumbe ndio mnavyotuita hivi kitaalamu, REPTILE au LIZARDS people, wow!!!
Ahahaaah, noma sana!!!
 
Back
Top Bottom