Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,538
- 21,664
Hizi video za siku hizi usipokuwa makin unaaibika kweupee!!Clip ya AI hiyo, be careful siku hizi real and AI generated images or videos are the same, but utajua if is AI if you watched Live videos
Sasa kaka hapo umetoa jibu ama umebadili tu lugha!?Autism
Usinisumbue bwashe π π π π vyovyote vile atajua mwenyewe bhanaSasa kama hapo umetoa jibu ama umebadili tu lugha!?
Shinikizo la damu ni nini? Ni hypertension.
Mnafundishwa wapi hayo mambo?Kumbuka Huyu ni reptile π¦ au lizard people au super genius au transformers hawa mission yao Dunia ni lango la kupitisha bunifu au technology mpya au mawazo mapya duniani kupitia ndoto,maono kwa msaada wa viumbe vya kiroho kutoka ulimwengu wa nje na kuzileta duniani.
Hawa mda wote wanathink mambo makubwa hapo unaweza Dhani mpo nae kumbe ashahama anawaza bunifu zingine ni watu wasiopenda kusocial .
Pia huwa wanabadilika badilika sura thus wanaitwa reptile au watu mijusi.
Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha.
Mfano Lisu ni ukombozi na sio pesa au utajiri kwake havina thamani.
Na mm nataka kupelekeshwa na utajiri πUtajiri unampelekesha sana
Hahahaha simpaka sasaπ€£π€£π€£Na mm nataka kupelekeshwa na utajiri π
Mpaka sasa utajiri wangu unaweza kunitoa kituo cha kwanza mpaka cha pili kwa daladala π₯Hahahaha simpaka sasaπ€£π€£π€£
And very difficult or impossible to notice or differentiateClip ya AI hiyo, be careful siku hizi real and AI generated images or videos are the same, but utajua if is AI if you watched Live videos
Genius la ki Israel ana akili mpaka anahewukaElon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
View attachment 3351609
View attachment 3351610
Na mm nataka kupelekeshwa na utajiri π
Hii ni character ya genius "kuwa ktk ulimwengu wake"ata mbele za watu. Watu wa jirani yake wapo busy coz wanamjua "anawaza kwa vitendo"
Ila ndiyo hivyo anahela nyingiAliwahi kusema ana usonji, clip ni real sio AI, mara nyingi tu camera huwa zinamnyaka anafanya vibweka, kuna moja alikuwa anachezea umma na vijiko mezani.
Hapa umenizungumzia mimi kabisa aisee.Kumbuka Huyu ni reptile π¦ au lizard people au super genius au transformers hawa mission yao Dunia ni lango la kupitisha bunifu au technology mpya au mawazo mapya duniani kupitia ndoto,maono kwa msaada wa viumbe vya kiroho kutoka ulimwengu wa nje na kuzileta duniani.
Hawa mda wote wanathink mambo makubwa hapo unaweza Dhani mpo nae kumbe ashahama anawaza bunifu zingine ni watu wasiopenda kusocial .
Pia huwa wanabadilika badilika sura thus wanaitwa reptile au watu mijusi.
Dunia hii kila mtu ana mission yake aliyopewa kuja kuikamalisha.
Mfano Lisu ni ukombozi na sio pesa au utajiri kwake havina thamani.
Kila mwenye akili ninmwisrael!!?we jamaa!!Genius la ki Israel ana akili mpaka anahewuka
Huna hata mia mbovu unaomgelea utajiri kumpelekesha Musk... rubbishUtajiri unampelekesha sana