Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

Kimbesa11

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
4,648
Reaction score
2,706
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.

Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

1766724072407.Screenshot_20251226-072731.png
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu hyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU
Mkapa alishatubu kwa kuwaita watanzania ukiwemo wewe malofa?
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu hyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU
Kasema wapi ? nipe clip
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
 
Attachments

  • 1766724072407.Screenshot_20251226-072731.png
    1766724072407.Screenshot_20251226-072731.png
    606.5 KB · Views: 21
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Kama wewe ndo umeandika ile barau we ni lofa na huyo samuya wako
 
Wewe lofa mbona mapema sana?

Umeanza kazi kabla ya saa mbili asubuhi
 
Kama wewe ndo umeandika ile barau we ni lofa na huyo samuya wako
Kwahiyo mnashinda kanisani kwa lengo la kujikimu kimaisha na kunywa pombe au kusali, mnamuomba Mungu yupi
 
Mathew 23 17 soma Hadi 33 uone Yesu akiwapa makavu laivu watu kama wewe.

Matayo 23:17​

Ninyi vipofu wajinga! Ni kipi kilicho bora zaidi, ni ile dhahabu au ni Hekalu ambalo ndilo linafanya dhahabu hiyo kuwa takatifu?

My take: haya maneno sidhani kama ni maneno ya Mungu
 
Huyu mchagaa alifaa mno kuwa kardinali. He calls a spade a spade.

Sio lile lioga lioga la Tabora lichawa Promax la CCM.
Afadhari hta ya kardinali Pengo
 
  • Thanks
Reactions: apk
Back
Top Bottom