Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Huenda ungejua maana ya neno lofa, usingeandika haya🙂
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Lofa anapaswa kuitwa lofa na si vinginevyo, kutubu wana taratibu zao sidhani kama utaratibu huo huwa ni wa kutubu hadharani kama kunakuwa na sababu za kutubu.
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Na mimi namuita huyo Mkatoliki aliyeandika Barua ni Lofa.
Angekuwa na Malalamiko na Kitima angeanza kuandika barua kwa Paroko wake kupitia Mwenyekiti wa Jumuiya yake. Anatafuta kiki tu huyo lofa.

Si ajabu hiyo barua kaweka anthax. I hope Vatican wataitupa kwenye dustbin na kuichoma maana hajafuata utaratibu
 
Hatutegemei kauli kama Ile itoke kwa Askofu ni kuaibisha kofia ta ua
Kofia ya Rais ki kubwa na ina effect kubwa zaidi ya Askofu katika suala la maadili Raisi ni wa wote wakati askofu ni wa upande mmoja..Kama Mkapa hakutubu laana itaendelea milele au mfufue aombe radhi kwanza ndo uhoji hili la Askofu.. Tanzania Urais umekua raisi sana..Tafakari kwa kina..
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.

#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Aanze Samia kutubu kwanza kwa kuangamiza roho za watanzania zaidi ya 10000.
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Sasa Kwa nini mnashindwa kustahamini mawazo kinzani na Yao. Wanamuambia Raia Samia anashindwa kutoa Uhuru wa watu kutoa maono Yao na kuandamana. Sasa Naona So called askofi amepanic na kuanzia kuvurumisha matusi na kashfa.. hajui yankuqa ina Ku expose yeye kuwa ni MTU wa Aina gani? Kwa nini anamdhalilisha jamaa Kwa kuona kuna injustice na kupaza sauti yake?
Kwa hivyo TEC Haina tofauti na CCM. Na kibaya zaidi TEC wanatumika Mwamvulinwa dini.. au TEC wanajiona wao wamiliki maisha au mawazo ya wakatoliki wote . Kwani Kitima ninmtawala au ktumishi WA mungu? Kama ni ktumishi WA Mungu aanze kuajindaa kuyasikiliza mawaO kinzani ya yake Kwenye kanisa au ndiyo Matanza kupatikankama huyu Tapeli wa Dar?
 
Wewe ni loafer mwingine
Aungame kwa sababu ya kumuita mtu loafer, kwani hilo ni tusi?
Wewe loafer sababu mvivu, na mzembe wa kutafuta ukweli, maarifa na taarifa.
Umeshindwa kutafuta maana ya loafer?
Au haujui hilo ni neno linalotokana na lugha ya kiingereza likimaanisha mtu mwenye sifa za uzembe na uvivu?
Loafer (person): Someone who avoids work, an idler, or a layabout, derived from the verb "to loaf".
 
Wewe ni loafer mwingine

Mvivu, mzembe wa kutafuta ukweli, maarifa na taarifa.
Umeshindwa kutafuta maana ya loafer?
Au haujui hilo ni neno linalotokana na lugha ya kiingereza likimaanisha mtu mwenye sifa za uzembe na uvivu?
Loafer (person): Someone who avoids work, an idler, or a layabout, derived from the verb "to loaf".
Nasema Ile lofa ya kiswahili ni matusi
 
Back
Top Bottom