Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

Kwani nini maana ya lofa?
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)

Kwani ni nini maana ya lofa?
 
Sijui mkuu
Basi vyema,and kukusaidia siku nyengine usitoe boko kama hivi,ndani ya Kanisa Catholic mambo yanaenda kwa hatua kuna ngazi za kuwasiliana nazo haziingiliani.

Muumini wa kawaida akiwa na shida ya kutaka utatuzi wa Papa lazima barua atakayoandika ipite kwa Paroko wa Parokia anayosali,Paroko aipitie ikimridhisha aipeleke kwa Askofu wa Jimbo analosali aipitie ikimridhisha aipeleke kwa Cardinal (mwakilishi wa Papa kwenye taifa husika) aipitie kama kesi ndogo anaimaliza kama nzito ndiyo inakuwa posted kwa Pope.

Askofu Ruwa’ichi kauli aliyoitumia kwanza ameshajua huyo siyo muumini maana hata taratibu za Kanisa hazijui ni muhuni tu mmoja amewekwa na kijikundi fulani kikidhani Catholics wananunua pumba kiwepesi wepesi kama hao wengine.
 
Mbona mnapotukana viongozi wa serikali hamfati hatua kwa hatua hebu acheni unafiki.
Mmepingwa kidogo tu povu kanisa zima
 
Anaita wenzake lofa yy anafanya kazi Gani hapo misheni
Nyingi Sana.
Mojawapo kuhudumia watu kiroho.
Kazi ya kutatua migogoro ya ndoa.
Ushauri nasaha.
Kufundisha maadili na uzalendo.
Anaisaidia serikali kuwafundisha watu maadili mema ili wasiwe wahalifu.
Kuongoza taasisi za elimu na afya zinazo milikiwa na kanisa jimboni kwake.
Kusimamia miradi ya kanisa inayo saidia jamii.
 
Lofa linamtetea lofa mwenzake,nadhani hata wazazi wako walipaswa kuwaomba radhi watanzania kwa kuwaletea mtoto majnun kama wewe
 
Makosa ya Kitima.

1.Kusema serikali ikiri watu watu walipigwa risasi za moto.

2.Majeruhi waliletwa katika hospital za kanisa chini ya amri ya polisi wakiamu wasitibiwe bali waachwe wafe au watupwe mochwari angali hai.

3. Waliomshambulia wanafahamika na ndio maana polisi wako kimya [May -December] kwa jeshi linalojinasibu lina intelijensia kali haliwezi kushindwa kuwakamata hao washambuliaji .

4.Serikali inafahamu fika sababu za watu kuandamana na sio kwamba haijui , isijifiche katika kivuli cha vijana wa nchi jirani au vijana waliolipwa ilhali vijana hawana ajira na wanatekwa wanapodai haki zao.

5.Watu wanataka haki , haki ya kuchagua watu wawapendao imepokwa na ndio maana hata mapendekezo yao kupeleka serikali iangalie namna ya kufanya uchaguzi usiwe na machafuko waliikamilisha April mwishoni na May akashambuliwa, ni mtu asiye timamu tu ndio ataamini October 29 kulikua na uchaguzi maana jina la tume ni huru ila muundo wa tume sio huru hata kwa asilimia 1%

6.Serikali iwape ndugu, jamaa na marafiki maiti za ndugu zao , wakikaa kimya haitosaidia bali itazidi kupanda chuki kama unafahamu fika ndugu yako ameuliwa na hata mwili hupewi unazika unafikiri huyo mtu atajenga picha gani kwa waliomfanyia ndugu , jamaa , rafiki yao?

Nimepitia video ile ya aliyoongea Kitima hayo ndio makosa yake makuu hadi kushtakiwa .

Nimemkumbuka sana mwalimu wangu mmoja wa shule ya msingi alipokuwa anatufundisha kusoma "KATIKATI " ya mistari au kusoma kwa ufahamu .

Leo nimeamini sio wote wanaweza kusoma kwa ufahamu na kuelewa baadhi ya vitu vinavyohitaji bongo safi zinazochemka.

Kama kaulimbiu yenu ya Kazi na Utu mliimanisha na vitu alivyoongea Kitima mmeona sio sawa basi itabidi kuanzia ile kamati kuu wawe declared "MENTAL INCAPACITATED STATE"

View: https://www.youtube.com/live/oUTsR9GjXR8?si=ijDeThphHWB8Jx-p
 
Mbona mnapotukana viongozi wa serikali hamfati hatua kwa hatua hebu acheni unafiki.
Mmepingwa kidogo tu povu kanisa zima
Huo ndiyo utaratibu ukitaka kupingana nao basi ni wewe na nafsi yako.

Ama la kwanini (kwa maelezo yako) ”mnapotukana” sina hakika kama ukiulizwa uthibitishe wanaotukana viongozi wote ni Wakatoliki kama utaweza kuthibitisha,na hao unaoita viongozi hawatukanwi wanaambiwa ukweli.
 
Hayo nimeandika wapi? Kinasehemu nimesema wanaotukana viongozi ni wakatoliki hebu achana na mm
 
Mbona mnapotukana viongozi wa serikali hamfati hatua kwa hatua hebu acheni unafiki.
Mmepingwa kidogo tu povu kanisa zima
Hayo nimeandika wapi? Kinasehemu nimesema wanaotukana viongozi ni wakatoliki hebu achana na mm
Hoja mama hapa ni Askofu wa Kanisa Catholic kumuita anayedaiwa kuandika barua Vatican kuwa ni fala sijui lofa,ukiwa ndani ya hoja hiyo hiyo ukaandika maneno niliyo-bold pale juu.

Hukutenganisha ni nani na nani wanaotukana viongozi mimi nimechukulia umewalenga hao Wakatoliki.
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Wewe pia ni LOFA tu kama huyo LOFA mwenzako unayemtetea.
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Ukisikia kelele kwa jiwe la gizani,mpiga kelele kaguswa nalo.Pole Kimbesal a.k.a lofa mwimba amani na mwoga wa kuiimba haki na mdau wa Amani ya mafisadi wa taifa hili.
 
Mkatoliki mkapa aliwahi kutubu?? Hilo mona

Pili mkapa alipowaita wenzie malofa ulikuja kuandika humu kumsihi atubu?
 
Attachments

  • images (27).jpeg
    images (27).jpeg
    46 KB · Views: 18
Mkatoliki mkapa aliwahi kutubu?? Hilo mona

Pili mkapa alipowaita wenzie malofa ulikuja kuandika humu kumsihi atubu?
Kimbesa yeye kapewa kazi ya kuwalisha matango pori watanzania wasioelewa uhuni wa wadau wa amani pasipo haki na waoga wakulitamka na kutenda haki kwa maslahi ya mafisadi ya taifa hili.
 
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
View attachment 3520782
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Mbona jamaa ukimuona Tu unajua ni MTU wa propaganda😅😅
 
Back
Top Bottom