Mkapa alishatubu kwa kuwaita watanzania ukiwemo wewe malofa?Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu hyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU
Kasema wapi ? nipe clipKatika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu hyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU
Lakini kauli kama hiyo ulitarajia itoke kwa Rais mkapa?Hatutegemei kauli kama Ile itoke kwa Askofu ni kuaibisha kofia ya uaskofu
Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Kama wewe ndo umeandika ile barau we ni lofa na huyo samuya wakoKatika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Wewe lofa mbona mapema sana?Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruachi ameonyesha kukosa uvumilivu wakimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Mkapa hakuwa mtawa. Huyo ni mtu wa mimbari ya munguMkapa alishatubu kwa kuwaita watanzania ukiwemo wewe malofa?