Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Hivi amewahi kuzungumzia uuaji, kujeruhi, uharibifu, uporaji na wizi uliofanywa na watu wao waliowatuma kuandamana ile tarehe 29 (maana siamini kama waliwatuma wafanye fujo kama vile)? Afanye hivyo basi ajitoe kwenye kundi la kinafiki la kina kitima.Huyu mchagaa alifaa mno kuwa kardinali. He calls a spade a spade.
Sio lile lioga lioga la Tabora lichawa Promax la CCM.
Afadhari hta ya kardinali Pengo
TAIRA ni mtu anae kuchapa HUKO kwenye nanilizi, huku uki katikaJifunze kuandika Kwanza ndiyo uje kuzungumza na wanaume " taira" maana yake ni nini?.. kumbe napoteza muda wangu na kiazi
Wewe ni LofaUsikuze mambo au jambo usilolijua kama huyo muumini feki aliyevaa rosari .
Neno lofa au loafer siyo tusi na huna haja kulitafutia au kulivika maana mbaya.
Kwa kukuelewesha tu ni kwamba, lofa ni sawa kusema: mzururaji au idler au asiye na kazi.
Kwa maana hiyo, askofu Ruwaichi Hana baya kwa kumuita huyo lofa, LOFA.
Mtake radhi askofu
Wewe ni Lofa
Chawa wa CCM (terrorist organizations),huwa na yeye ni terroristWewe muislam lakini unafatilia ibada za wakiristo kuwazidi wakiristo wenyewe 🤣🤣😂
Yesu alimuita 'Mbweha' Kaisari.Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)
Hivyo unapingana na ukatoliki kwa kuwa unapinga mitazamo ya wakatoliki wenyewe, nenda kasilim tu mkuuSikulazimishi kuamini kuhusu dhehebu langu. Mimi mkatoliki tangu nazaliwa na nitakufa humu humu, kupinga yanayofanywa na Father Kitima haina maana kwamba nimeshakwenda kwenye madhehebu mengine.
Nipo huru sana kichwani.
Father Kitima ni kampeni meneja wa Lissu uchaguzi wa mwaka 2020 hawezi kukubaliana na mengi yanayofanywa na CCM ikiwa yeye tayari ni kiongozi wa kiroho mwenye upande anaouamini katika siasa za nchi hii.Hivyo unapingana na ukatoliki kwa kuwa unapinga mitazamo ya wakatoliki wenyewe, nenda kasilim tu mkuu
Au utuambie unachokipinga ni kipi kwa kitima, au anayo yakemea hujayaelewa? Mboga mboga mnamatatizo ya akiri bila shaka
Mimi kuwa muumini wa kanisa katoliki hainifanyi nikaamini kile anachokiamini Askofu wangu.Mkatoliki gani
******* km nyie mnapaswa kutengwa.
Km maamuzi ya maaskofu wanakosea mnasubiri nini kutoka nendeni huko madhehebu yapo mengi.
Mnapewa na kutekeleza amri haramu haramu nyie wanaharamu.
Unanifananisha na mwalimu wako wa kiswahili siyo.🤣🤣sio mungu ni Mungu
Unajua maana ya Lofa?Mimi rubani wa Kenya airways, sasa rubani na ulofa wapi na wapi.
Hapana mkubwa.Unajua maana ya Lofa?
Kusema ukweli ni kutukana?Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima.
Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe.
#Roho itendayo dhambi ndiyo itakayo kufa TUTUBU (Eze, 18:20)