camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Wewe ni muislamu, na yule lofa ni muislamu mwenzio!Nipo hapa mbezi beach karibu sana.
Wakatoliki tunafahamiana hata namna tunavyopost humu!
Vimelea vya ukatoliki huna na nimefurahi sana ulivyojichanganya kwamba father Kitima alipewa uaskofu!
Jiepushe na aibu ndogondogo!
Vijiwe baada ya swala ya jioni vinakuponza!