promethus
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 1,289
- 2,194
Mkatoliki ganiUnapotekwa unakuwa umefanya makosa, labda ya uchochezi. Wakati mwingine inakuwa ni sababu za kibiashara au ugomvi wa kimapenzi, kumbuka Chadema ilikuwa na tabia ya kuteka wanasiasa wa chama hicho hicho kimoja, unaweza kuisingizia serikali kwamba inahusika na utekaji kwenye mazingira ya aina hiyo?.
Tume ipo kazini muda huu itakuja na majibu kamili kuhusiana na chanzo haswa cha maandamano kilikuwa ni nini.
Huna uwezo wa kufanya shughuli ya TISS ingawa sikufahamu, tabia ni zile zile za kibongo kudhani anafahamu kila kitu kwa sababu anao uwezo wa kutoa maoni yake kupitia simu yake ya Iphone.
Mimi muumini wa kanisa katoliki, analoliongoza na kuingiza siasa za kivyama bila ya kujua wengine hatuamini kile anachokiamini.
Mdogo wangu asingeweza kutoka nje katika mazingira ya tarehe 29 October mkuu wa polisi aliposema mwisho kutembea ni saa 12 maana yake zaidi ya hapo ukikutwa huko barabarani unapigwa risasi, mazingira ya kivita yalikwisha kuingia nchini.
Samia ni rais wa JMT tena halali baada ya kushinda uchaguzi ambao nyinyi mliamua kuususia mkadhani kwamba mpo peke yenu mlisahau kwamba kulikuwa na vyama 16 vilivyoweka wagombea hakuna muda wa kubembeleza wale wapuuzi wa 'no reform' nchi inakwenda bila ya uwepo wao.
Kutekwa kupo dunia nzima mkuu, nenda katazame ICE wanavyowakamata raia ambao hawana uhalali wa kuishi Marekani halafu njoo ulinganishe na namna watu wanavyotekwa hapa Tanzania.
Wewe uwe mtii wa sheria ukijifanya kondoo kichwa ngumu utakutana na vichwa ngumu wengi tu watakushughulikia kwa mujibu wa sheria hizo hizo unazohoji juu ya uwepo wake.
******* km nyie mnapaswa kutengwa.
Km maamuzi ya maaskofu wanakosea mnasubiri nini kutoka nendeni huko madhehebu yapo mengi.
Mnapewa na kutekeleza amri haramu haramu nyie wanaharamu.