Dah ๐๐๐! Asante mkuu Ila kumbuka umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80.. Baada ya hapo ni miaka ya bonusNashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la jamiiforums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa. Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno Kwa jamiiforums na maisha ya wana jamiiforums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk. Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu Sasa au hata baada ya kuondoka hapa duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi. I hope hili ni takwa la Kila mwana jamiiforums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
Mtani wafu hawafi tena๐Kwani bado yupo Hai?๐ซข
Mtani usije ukarusha ngumu.
Sisi tusio humble kumbe hatupendwiHuyu jamaa Muhimu sana Humu.. Nishawahi kuongea naye ,very humble..
๐๐๐Watu wanataka rambirambi ungali bado u hai๐คDah ๐๐๐! Asante mkuu Ila kumbuka umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80.. Baada ya hapo ni miaka ya bonus
Tuombeane niipate ya bonus๐๐๐
Ishi sana Kamanda๐Dah ๐๐๐! Asante mkuu Ila kumbuka umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80.. Baada ya hapo ni miaka ya bonus
Tuombeane niipate ya bonus๐๐๐
wakati watu wanamachungu na kinachofanyika nchini wewe nae unaleta thread yako ya kiuchawa kwa mtu ambae hata hamjawahi kuonana! Haya bhana!Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa.
Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk.
Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu sasa au hata baada ya kuondoka hapa Duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi.
I hope hili ni takwa la Kila mwana JamiiForums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
Itapendeza sana..Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa.
Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk.
Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu sasa au hata baada ya kuondoka hapa Duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi.
I hope hili ni takwa la Kila mwana JamiiForums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
huyu ni lucas mwashambwa akiwa na ID nyingine sasa yeye anabubujikwa tu!Sanamu mpaka ya gentacymine???????huu NI ujinga sasa umezidi