To yeye
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 20,518
- 38,854
Mi nadhani upendo ni kitu Cha bure Mkuuwakati watu wanamachungu na kinachofanyika nchini wewe nae unaleta thread yako ya kiuchawa kwa mtu ambae hata hamjawahi kuonana! Haya bhana!
Mi nadhani upendo ni kitu Cha bure Mkuuwakati watu wanamachungu na kinachofanyika nchini wewe nae unaleta thread yako ya kiuchawa kwa mtu ambae hata hamjawahi kuonana! Haya bhana!
Mchana Jr aka kigagula wa lisuNashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa.
Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk.
Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu sasa au hata baada ya kuondoka hapa Duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi.
I hope hili ni takwa la Kila mwana JamiiForums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
Habari za asubuhiMi nadhani upendo ni kitu Cha bure Mkuu
Niache bhana🙄Habari za asubuhi
Umetoa boooongeee moja la wazoNa ikiwezekana jamiiforums ijenge mnara pale mbele ya ofisi zake Kwa watu muhimu kama hawa ila baada ya kutuaga hapa duniani. Mfano ile space ya mbele pale HQ za jamiiforums pawe na sanamu la Maxence Melo na Mshana Jr GENTAMYCINE @Erthyrocite nk
😃😃Niache bhana🙄
😂umeamka poa lakini? Jitahidi upunguze maadui...jifunze kuwa mtulivu ...haigharimu mbona🥴
Una mawazo ya kijinga sana. Kwa hali ya kawaida kabisa binadamu huwa hatuwazi hivi. Japo kifo kipo, na muda wowote, lakini muda wote huwa tuna-wish binadamu wenzatu maisha marefu. Au una jmabo nyuma ya pazia?Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa.
Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk.
Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu sasa au hata baada ya kuondoka hapa Duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi.
I hope hili ni takwa la Kila mwana JamiiForums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
😃😃😂umeamka poa lakini? Jitahidi upunguze maadui...jifunze kuwa mtulivu ...haigharimu mbona🥴
Mkuu hayo ni matokeo ya multiple ID's usihangaike nae sana huyo,wakati watu wanamachungu na kinachofanyika nchini wewe nae unaleta thread yako ya kiuchawa kwa mtu ambae hata hamjawahi kuonana! Haya bhana!
Kifo ni kifoWatu wazuri hawafi...
Huyo hashindwi kupost hata akiwa kaburini, au umeisahau taaluma yake?Kapost Uzi mpya saa moja iliyopita.
Huyo mwingine uliyemtaja hapa unamchonganisha tu aje kutukanwa na wapinzani wakeNa ikiwezekana jamiiforums ijenge mnara pale mbele ya ofisi zake Kwa watu muhimu kama hawa ila baada ya kutuaga hapa duniani. Mfano ile space ya mbele pale HQ za jamiiforums pawe na sanamu la Maxence Melo na Mshana Jr GENTAMYCINE @Erthyrocite nk
HahahahaWatu wazuri hawafi...
Umemtafsiri vibaya kwa kutambua mchango wangu hapa jukwaani.. Hata hivyo si kila mtu anaweza kukubaliana nayeahhhwapi! Ningejibu hivi bado! Kwani we mshana jr unapenda machawa?
Dah😂😂😂 huyu mwamba amewakaa midomoni mpaka akiliniMchana Jr aka kigagula wa lisu
USSR