Ni vema Mshana Jr aache wosia JamiiForums akitangulia mbele ya haki ajulikane wazi

Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa.

Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk.

Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu sasa au hata baada ya kuondoka hapa Duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi.

I hope hili ni takwa la Kila mwana JamiiForums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
Tujenge utamaduni wa kuwatambua watu wakiwa hai. Tusisubiri wamekufa.
 
Nilimjua Mshana katika ile era yake ya Uganga, soma sana nyuzi zake.

Nimerudi tena namkuta anapigania Haki na Usawa, safi sasa huo ndiyo UTU, wengine sijui wana tafsiri ipi?

Yeah ni muungwana. Maxence Melo fanya nini madingi amesema.

Asante.
 
Umemtafsiri vibaya kwa kutambua mchango wangu hapa jukwaani.. Hata hivyo si kila mtu anaweza kukubaliana naye
Kila binadanu anahitaji mambo matatu kijamii
Kuheshimiwa
Kusifiwa
Kutambuliwa utu wake..!
Yeye kanisifia na hakutoka kwenye mstari wa yale mambo muhimu matatu kwa binadamu.. Nami nimejisikia vizuri kwakuwa nami ni binadamu
Kwenye sifa kuna aina mbili
Sifa nzuri/njema
Sifa mbaya
Sifa mbaya huumiza lakini hujenga pia Kama ni za haki.. Sifa nzuri hupumbuza Kama usipokuwa mtu wa tafakuri
Mada yake imebeba jambo muhimu ambalo kama tukiamua kulichambua lina mengi ndani yake! ILA sio CHAWA!
haya bhana!
 
Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa.

Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk.

Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu sasa au hata baada ya kuondoka hapa Duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi.

I hope hili ni takwa la Kila mwana JamiiForums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
Mbona unamchuria mwenzako mkuu..
 
Nilimjua Mshana katika ile era yake ya Uganga, soma sana nyuzi zake.

Nimerudi tena namkuta anapigania Haki na Usawa, safi sasa huo ndiyo UTU, wengine sijui wana tafsiri ipi?

Yeah ni muungwana. Maxence Melo fanya nini madingi amesema.

Asante.
Huyu jamaa ni mchawi na alisomea kabisa mambo ya kichawi sasa mzoeni awaloge muwe wafupi kama ndugu zake wa kule gonja.
 
Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa.

Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk.

Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu sasa au hata baada ya kuondoka hapa Duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi.

I hope hili ni takwa la Kila mwana JamiiForums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
Daaaah!!! Jamaa umewaza nini?
Mshana mbona tunashinda nae huku Msata πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom