nashangaa hawa wanataka kukuwahisha mbele za mahahili? wanataka kukuteka nini?Dah 😀😀😀! Asante mkuu Ila kumbuka umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80.. Baada ya hapo ni miaka ya bonus
Tuombeane niipate ya bonus😀😀😀
Asante sana mkuu wangu🙏🏿🙏🏿🙏🏿Huyu jamaa Muhimu sana Humu.. Nishawahi kuongea naye ,very humble..
Hahahaha😂😂😂😂Tatzo lake tu anashabikia makolo aaaahaaaa walituheshimisha Juzi Kati bhana yuko vizuri.
😀 Hawa ni watu wemanashangaa hawa wanataka kukuwahisha mbele za mahahili? wanataka kukuteka nini?
The nightwalker nina hakika kwa dhati ya moyo angekuandika wewe usingemjibu hiviwakati watu wanamachungu na kinachofanyika nchini wewe nae unaleta thread yako ya kiuchawa kwa mtu ambae hata hamjawahi kuonana! Haya bhana!
amen mkuuTuombeane wote maisha mengi mengi yaliyojaa fanaka na siha tele
Pamoja sana best 💕Ishi sana Kamanda👊
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿💪🏿👌🏿
Asante mkuu Vincenzo JrHongera sana Mshana Jr
Hahahaha😂😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿😂😂😂Watu wanataka rambirambi ungali bado u hai🤒
Hahahaha😁Huu sasa uchawa tajiri hana baya
huyo mjuba kakimbiza sana humu kwa majigambo na kujisifia sana kuwa yeye ni bora kuliko wengine na ni mjuaji wa mambo japo kwa sasa nyuzi zake zimepungua sana. Ni mmojawapo wa wajuba maarufu humu kutokana na uandishi waoSanamu mpaka ya gentacymine???????huu NI ujinga sasa umezidi
ahhhwapi! Ningejibu hivi bado! Kwani we mshana jr unapenda machawa?The nightwalker nina hakika kwa dhati ya moyo angekuandika wewe usingemjibu hivi
😂😂😂🙌Hahahaha😂😂😂😂😂🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿