Ni vema Mshana Jr aache wosia JamiiForums akitangulia mbele ya haki ajulikane wazi

Ni vema Mshana Jr aache wosia JamiiForums akitangulia mbele ya haki ajulikane wazi

Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa.

Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio zinaongoza Kwa kuwa na posts na likes nyingi zinazoweza kufika 1 of 2800 nk.

Hivyo ndugu Mshana Jr pamoja na kwamba wewe ni mtu wa nyumbani kwetu kule upareni ningependa nikufahamu sasa au hata baada ya kuondoka hapa Duniani ikiwa utatangulia wewe na kuniacha Mimi.

I hope hili ni takwa la Kila mwana JamiiForums. Moderators msifute Uzi huu pliz kama mnavyofuta nyuzi zangu za siasa.
Huyu mpare wa Usangi Mshana Jr Mungu anamuweka sana, ataona kizazi chake cha nne!
 
Mhubiri 7:14
[14]Siku ya kufanikiwa ufurahi,
Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.
 
Back
Top Bottom