nashangaa hawa wanataka kukuwahisha mbele za mahahili? wanataka kukuteka nini?Dah πππ! Asante mkuu Ila kumbuka umri wa mwanadamu ni miaka 70 na akiwa na nguvu ni miaka 80.. Baada ya hapo ni miaka ya bonus
Tuombeane niipate ya bonusπππ
Asante sana mkuu wanguππΏππΏππΏHuyu jamaa Muhimu sana Humu.. Nishawahi kuongea naye ,very humble..
HahahahaππππTatzo lake tu anashabikia makolo aaaahaaaa walituheshimisha Juzi Kati bhana yuko vizuri.
π Hawa ni watu wemanashangaa hawa wanataka kukuwahisha mbele za mahahili? wanataka kukuteka nini?
The nightwalker nina hakika kwa dhati ya moyo angekuandika wewe usingemjibu hiviwakati watu wanamachungu na kinachofanyika nchini wewe nae unaleta thread yako ya kiuchawa kwa mtu ambae hata hamjawahi kuonana! Haya bhana!
amen mkuuTuombeane wote maisha mengi mengi yaliyojaa fanaka na siha tele
Pamoja sana best πIshi sana Kamandaπ
ππΏππΏππΏππΏπͺπΏππΏ
Asante mkuu Vincenzo JrHongera sana Mshana Jr
HahahahaπππππππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏπππWatu wanataka rambirambi ungali bado u haiπ€
HahahahaπHuu sasa uchawa tajiri hana baya
huyo mjuba kakimbiza sana humu kwa majigambo na kujisifia sana kuwa yeye ni bora kuliko wengine na ni mjuaji wa mambo japo kwa sasa nyuzi zake zimepungua sana. Ni mmojawapo wa wajuba maarufu humu kutokana na uandishi waoSanamu mpaka ya gentacymine???????huu NI ujinga sasa umezidi
ahhhwapi! Ningejibu hivi bado! Kwani we mshana jr unapenda machawa?The nightwalker nina hakika kwa dhati ya moyo angekuandika wewe usingemjibu hivi
ππππHahahahaπππππππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏππΏ