Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango
1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k
2.Mkulima, mfugaji au mfanyabiashara
3.Fundi ujenzi uliyeajiri saidia fundi n.k
4.Mama ntilie uliyeajiri watu, Baba/mama wa familia unayegawa majukumu ya kazi za nyumbani kwa watoto je yanafanyika kwa kiwango ulichokusudia?
5.Maboss serikalini mlioajiri madaktari, waalimu, wahandisi, maaskari, wanasheria, na watumishi mbalimbali
Japokuwa hii ni mada mtambuka si mbaya kushare uzoefu wenu.
Ni zipi performance indicators mnazoangalia zaidi?
Na nini kinawafanya mseme huyu mtu ni maneno tu vitendo sifuri.
ShesRise_1 tpaul Manyanza Yoda Mshana Jr cocastic njoeni mtuokoe kizazi cha AI