cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Tukubaliane, advance isome kabisa ndipo nakusogezea jambo, nyie hamueleweki.Makonki huo hamtokii, fanya maajabu kweli kabida najambo langu na menina
Tukubaliane, advance isome kabisa ndipo nakusogezea jambo, nyie hamueleweki.Makonki huo hamtokii, fanya maajabu kweli kabida najambo langu na menina
😂😂😂Kweli yejengeni mapema maana weekend is loading
mie sina kiswahili, mbona utafurahi na roho yako. Siwezi kukupa kazi bila chakoTukubaliane, advance isome kabisa ndipo nakusogezea jambo, nyie hamueleweki.
Hakuna kazi isiyokuwa na vipimo mkuu. Kwa mfano, mtu wa customer care akipewa kazi ya kuongea na wateja online akaambiwa kwa siku anapaswa kuhudumia wateja 300 na kila mteja mmoja anapaswa kuongea naye kwa wastani wa dakika 2 lakini yeye akaweza kuhudumia wastani wa wateja 150 kwa siku na muda wake wa kuongea ukawa dakika 4, hasi huyo mtu anafanya kazi chini ya viwango kwa 50%.Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango
1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k
2.Mkulima, mfugaji au mfanyabiashara
3.Fundi ujenzi uliyeajiri saidia fundi n.k
4.Mama ntilie uliyeajiri watu, Baba/mama wa familia unayegawa majukumu ya kazi za nyumbani kwa watoto je yanafanyika kwa kiwango ulichokusudia?
5.Maboss serikalini mlioajiri madaktari, waalimu, wahandisi, maaskari, wanasheria, na watumishi mbalimbali
Japokuwa hii ni mada mtambuka si mbaya kushare uzoefu wenu.
Ni zipi performance indicators mnazoangalia zaidi?
Na nini kinawafanya mseme huyu mtu ni maneno tu vitendo sifuri.
ShesRise_1 tpaul Manyanza Yoda Mshana Jr cocastic njoeni mtuokoe kizazi cha AI
Manyanza linda mgongo wako hali ni mbayaaaa😅😅👌Huyo sidhani kama ana maana , maana anapayuka sana sidhani ni classy huyo ni miyeyeusho hqlafu unaweza kuta ni dume 🤣
Nimeomba date mbona hujanijibu 😤Manyanza linda mgongo wako hali ni mbayaaaa😅😅👌
Sikupi date weye unanichomesha sana! Mie nakuchora tu waacha unafiki ndugu yangu😅😅Nimeomba date mbona hujanijibu 😤
Let's start fresh sikuchomi tenaSikupi date weye unanichomesha sana! Mie nakuchora tu waacha unafiki ndugu yangu😅😅
Unamkataa platnum unataka walalq hoiSikupi date weye unanichomesha sana! Mie nakuchora tu waacha unafiki ndugu yangu😅😅
Aweee hata kama platimum ameonyesha dalili za dharau😅😅😅Unamkataa platnum unataka walalq hoi
Yanazungumzika bhana hebu nicheki PM basiAweee hata kama platimum ameonyesha dalili za dharau😅😅😅
Picha yako imepagawisha platnum memberAu ndio mkakati wako wako nijione weak unile kirahisi? Heeee .....
Nikucheki lini ?Au ndio mkakati wako wako nijione weak unile kirahisi? Heeee .....
Ubora wa kazi hupimwa kwa kazi husika kupitia kwenye mlolongo ufuatao:Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango
1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k
2.Mkulima, mfugaji au mfanyabiashara
3.Fundi ujenzi uliyeajiri saidia fundi n.k
4.Mama ntilie uliyeajiri watu, Baba/mama wa familia unayegawa majukumu ya kazi za nyumbani kwa watoto je yanafanyika kwa kiwango ulichokusudia?
5.Maboss serikalini mlioajiri madaktari, waalimu, wahandisi, maaskari, wanasheria, na watumishi mbalimbali
Japokuwa hii ni mada mtambuka si mbaya kushare uzoefu wenu.
Ni zipi performance indicators mnazoangalia zaidi?
Na nini kinawafanya mseme huyu mtu ni maneno tu vitendo sifuri.
ShesRise_1 tpaul Manyanza Yoda Mshana Jr cocastic njoeni mtuokoe kizazi cha AI
Mkuu komaa keshalainika huyoNikucheki lini ?
😅😅 linda mgongo wako baba mtakatifu... hali ni mbayaaaMkuu komaa keshalainika huyo