Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kutathmini ubora wa kazi iliyofanyika kunategemea vigezo vikuu vya kitaalamu vinavyopima ufanisi, usahihi, na thamani ya matokeo yaliyopatikana.Kazi ni kipimo cha utu je, unatumia standards gani kupima ubora wa kazi? Tumesikia mara nyingi watu wanasema fulani kafanya kazi chini ya kiwango
1.Wewe mfanyakazi,mwajiri, n.k
2.Mkulima, mfugaji au mfanyabiashara
3.Fundi ujenzi uliyeajiri saidia fundi n.k
4.Mama ntilie uliyeajiri watu, Baba/mama wa familia unayegawa majukumu ya kazi za nyumbani kwa watoto je yanafanyika kwa kiwango ulichokusudia?
5.Maboss serikalini mlioajiri madaktari, waalimu, wahandisi, maaskari, wanasheria, na watumishi mbalimbali
Japokuwa hii ni mada mtambuka si mbaya kushare uzoefu wenu.
Ni zipi performance indicators mnazoangalia zaidi?
Na nini kinawafanya mseme huyu mtu ni maneno tu vitendo sifuri.
ShesRise_1 tpaul Manyanza Yoda Mshana Jr cocastic njoeni mtuokoe kizazi cha AI
Asante da mjengoKazi yoyote bora huwa inaonekana pindi tu ikikamilika. Wala hakuhitaji uchawi kujua hilo, huwa inaonekana wazi kabisa.
π»Asante da mjengo
Mi situmii weed
Nimeharibu kazi mwanangu
Jaribu ni nzuriπMi situmii weed
Una connection ya menina nataka nikamsabahi.. maana nyie ndio magwiji wa Dar es Salaam, nimevuta hapa ka salary hakana kazi π π nataka nikatupie kiunoniKazi yoyote bora huwa inaonekana pindi tu ikikamilika. Wala hakuhitaji uchawi kujua hilo, huwa inaonekana wazi kabisa.
Unajua kuharibu kazi wewe π€π€Nimeharibu kazi mwanangu
Ni kweli mkuu ila kwanini mtu awe ni maneno tu vitendo sifuri? Unamshaurije ili awe mtu wa vitendoKutathmini ubora wa kazi iliyofanyika kunategemea vigezo vikuu vya kitaalamu vinavyopima ufanisi, usahihi, na thamani ya matokeo yaliyopatikana.
π π kuna ile unapata ka mshahara alafu huna deni huna kimeo, yaani umeamua salary ya mwezi huoo kuichomaa kiunoni mwa mtoto mwenye nyama nyama mweupe kama yuleee ... alafu tomber ya mwijaku ilikuwa ya ku dar.. nataka nipuge ya kikulyaaaBwana allow cp una mambo wewe
Pima matokeoNi kweli mkuu ila kwanini mtu awe ni maneno tu vitendo sifuri? Unamshaurije ili awe mtu wa vitendo
Ahsante sana platinum wa kizazi chetuMkuu Baba mtakatifu91 , shukrani sana kwa kuni mention ili nije nitoe mawazo yangu.
Kimsingi ubora wa kazi hutokana na wewe uliyepewa kufanya hiyo kazi na yule aliyekupa au unayemfanyia kazi mapokeo yake ni yapi ?
Mfano mdogo tu humu JamiiForums, watu wanavutiwa sana na vile ninavyoleta updates za mahakamani watu wanaona nafanya kitu kizuri na wanafurahia.
Mfano mwingine miaka ya nyuma kidogo nilikuwa ni IT technician sehemu fulani, watu binafsi, waheshimiwa wa Serikalini na wazungu walikuwa wanapenda sana ninavyowafanyia kazi zao. Ilifikia hatua mzungu anachukua namba yangu ya simu akiwa Ulaya anamwambia mwenzake fundi mzuri wa computer ni huyu hapa (anapewa namba). Anatunza siri pia.
Jana nilikuwa nafanya kazi ya Wakili fulani msomi, alinipa compliment za kutosha na huyo jamaa ni wale ndugu zake Melo ngumu sana kusifia π
π
View attachment 3677659
Ushahidi huo πππ
Kwahiyo mapokeo ya watu unaowafanyiq kazi ndio hukupa picha jinsi ulivyofanikiwa katika ufanisi wa kile unachokifanya.
Jioni njema Mkuu