Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Unatafuta matatizo, nakushauri kaa kimya. Utakuja kunishukuruNimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanaangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania? Mbona kwenye bidhaa nyingine watu uchukuliwa hatua kali za kisheria ? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani hawa viongozi wa vilabu wakashambuliwa na wananchi au wana mtandao wa biashara hizi zisizolipa hata kodi? TRA na Polisi mpo wapi kwenye hujuma hizi za kiuchumi?
Kwanini?Unatafuta matatizo, nakushauri kaa kimya. Utakuja kunishukuru
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Trust me hawatakaa wajulikane na hata kama wakijulikana hiyo kesi itaishia hewani mzigo utataifishwa ili ukapigwe mnada kwa ajili ya kuharibiwa.. Litachezwa dili lingine na haohao kisha mzigo utarudi sokoniNimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanaangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania? Mbona kwenye bidhaa nyingine watu uchukuliwa hatua kali za kisheria ? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani hawa viongozi wa vilabu wakashambuliwa na wananchi au wana mtandao wa biashara hizi zisizolipa hata kodi? TRA na Polisi mpo wapi kwenye hujuma hizi za kiuchumi?
Hii ni Serikali ya Tanzania buana!! Inasikitisha sana tumeona mengi yakifinywa hivihivi.Trust me hawatakaa wajulikane na hata kama wakijulikana hiyo kesi itaishia hewani mzigo utataifishwa ili ukapigwe mnada kwa ajili ya kuharibiwa.. Litachezwa dili lingine na haohao kisha mzigo utarudi sokoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyomba vya ulinzi nchi hii havina maadili kabisa. Vyombo vya habari ni useless sijawahi kuona.Nimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanaangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania? Mbona kwenye bidhaa nyingine watu uchukuliwa hatua kali za kisheria ? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani hawa viongozi wa vilabu wakashambuliwa na wananchi au wana mtandao wa biashara hizi zisizolipa hata kodi? TRA na Polisi mpo wapi kwenye hujuma hizi za kiuchumi?
Sio kweli. Mi ndio kazi zangu hizo. ila sio hao wazabun kama unavyosema Kuna mengi ndani yake. Kwa kifupi ni ngumu kudhibiti biashara feki kwa nchi zinazoibukia au zenye uchumi mdogo. Ni cartels business. Hata china kwenyewe hawawez sembuse sisi.Mimi naona inawezekana ikawa pia ni dili la hawahawa wazabuni wa hizi timu kwasababu hizi original ni ghali na wananchi wengi hawamudu hivyo wakaona wajiongeze.
Inawezekana wakawa wanawacheka tu kina Kamwe. Cha muhimu tusubiri kauli ya wanausalama
Nimeshangaa kumuona ali kamwe kwenda kukamata izo jezi fake akiwa na waandishi wa habari bila ya polisi na sitaki kuamini kuwa hawakupewa taarifa.
Nimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanahangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania?
Mbona kwenye bidhaa nyingine watu huchukuliwa hatua kali za kisheria? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani hawa viongozi wa vilabu wakashambuliwa na wananchi au wana mtandao wa biashara hizi zisizolipa hata kodi?
TRA na Polisi mpo wapi kwenye hujuma hizi za kiuchumi?
Pia soma: Kontena zaidi ya 2 ya Jezi feki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2 zakamatwa
Na hawa macho madogo. Nchi imekuwa shamba la Bibi kama awamu ya 4.Ni kazi za wahindi hizo
Kazi zako kuchapisha jezi fake?Sio kweli. Mi ndio kazi zangu hizo. ila sio hao wazabun kama unavyosema Kuna mengi ndani yake. Kwa kifupi ni ngumu kudhibiti biashara feki kwa nchi zinazoibukia au zenye uchumi mdogo. Ni cartels business. Hata china kwenyewe hawawez sembuse sisi.
Hapana nauza manguo na maviatu ila sio jezi. Ila industry ni hiyo hiyo tunakutana viwandan hao wazabuni.
Wanaharibu sana biashara za watu wanasubiria bidhaa ikubalike mtaani wananza kuingiza feki.Na hawa macho madogo. Nchi imekuwa shamba la Bibi kama awamu ya 4.
Mbona unaongea lugha gongana. Kwanza umesema mzigo utataifishwa na kupigwa mnada, Kwa ajili ya kuharibiwa hapo hapo unasema itarudi sokoni. Sasa mnada ni kuuzwa tena.Trust me hawatakaa wajulikane na hata kama wakijulikana hiyo kesi itaishia hewani mzigo utataifishwa ili ukapigwe mnada kwa ajili ya kuharibiwa.. Litachezwa dili lingine na haohao kisha mzigo utarudi sokoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hujaelewa.. Subiri utaeleweshwaMbona unaongea lugha gongana. Kwanza umesema mzigo utataifishwa na kupigwa mnada, Kwa ajili ya kuharibiwa hapo hapo unasema itarudi sokoni. Sasa mnada ni kuuzwa tena.