Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meaning, hayo majizi yapo humo humo kwenye system. Ni ma bigfish kweli kweli sio tia maji tia maji.Mbona unaongea lugha gongana. Kwanza umesema mzigo utataifishwa na kupigwa mnada, Kwa ajili ya kuharibiwa hapo hapo unasema itarudi sokoni. Sasa mnada ni kuuzwa tena.
Tz, taifa la hongo na wizi!
Nimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanahangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania?
Mbona kwenye bidhaa nyingine watu huchukuliwa hatua kali za kisheria? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani hawa viongozi wa vilabu wakashambuliwa na wananchi au wana mtandao wa biashara hizi zisizolipa hata kodi?
TRA na Polisi mpo wapi kwenye hujuma hizi za kiuchumi?
Pia soma: Kontena zaidi ya 2 ya Jezi feki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2 zakamatwa
Ningependa kuyaona hayo mabig fish yakiogelea.Meaning, hayo majizi yapo humo humo kwenye system. Ni ma bigfish kweli kweli sio tia maji tia maji.