Ni vigogo gani wanatengeneza jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars? Kwanini dola inaogopa kuwachukulia hatua? Wanalipa kodi?

Mbona unaongea lugha gongana. Kwanza umesema mzigo utataifishwa na kupigwa mnada, Kwa ajili ya kuharibiwa hapo hapo unasema itarudi sokoni. Sasa mnada ni kuuzwa tena.
Meaning, hayo majizi yapo humo humo kwenye system. Ni ma bigfish kweli kweli sio tia maji tia maji.
 
Bongo kama sio mpigaji unakua mpigwaji. I'd rather be the former.
 
Tz, taifa la hongo na wizi!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…